Ndio Mkuu maana apa nmepagawaOhooo kwa hyoo unasubiria mkuu watoe
Itaonesha ndio umechaguliwa lakn hawaonesh umeenda chuo gan .samahani wakuu,hiv ukipangiwa chuo.kwenye account yangu itanionesha?
Mvumilivu ula mbivu ila kinachofata n kula manunduNgoja tusubiri tuu
Bachelor of science with educationUsipagawee mkuuu na uko wapiii na kombi fan umesoma n a ulichagua fucult gan