Willy mayor
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 346
- 44
kuna tetesi kuwa baadhi ya waliochaguliwa special diploma udom kuchaguliwa kidato cha tano coz zipo baadhi ya shule zinahitaji wanafunzi wa sayansi na hesabu
mkuu msaada wako kdogo! mm nna crd ya 2.1 but napnda kwnd cbg au pcb bt phy d chem d bios b eng b civ b kisw c hist c geog d math e na kwny kuomba shule nimejaza cbg na pcb je? naweza kupata hzo comb kutokana na matokeo hayo

wewe ulipangiwa form 5 na udom pia?
dah! mkuu kwl kwa matokeo yangu ntachagulwa hkl bt m napnda cbg au pcb n hv join instruction watatumia katka posta au inakuaje? msaada wakuu
mkuu! mtandaon wanaeka kwny website ya shule au inakuaje?
jaman kama mtu anajua siku ya kuwasil shule tutazopangwa baada ya kuchaguliwa
je, hivi tuliotuma maombi ya kusoma diploma ya education UDOM tutachaguliwakweli maana hao form 4 waliochaguliwa ni wengi mnoo!!