Second selection Kidato cha Tano 2015/2016

Jamani msaada wenu ni muhimu sana naomba mniangalizie hii s3007/0008
 
wakuu! hv kuhusu join instruction itakuwaje! mana naona siku za maandalizi ni alafu ata kama watatuma kwa njia ya posta huwa wanachelewa sana mimi nimepangiwa kimamba sec (PCB)
 
msaada jaman namna nitakavyo weza pata hayo majina ya second selection anielekeze
 
wakuu naomben msaada wakujua huyu m2 kachaguliwa shule gan S0687/0193, natanguliza shukran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…