Second selection is loading

Second selection is loading

TCU jamani basi inatosha! mtatuua kwa presha!
Enough is enough!
Toeni selection basi!
Tcu tushakoma jamani!
Mbona mnatufanyia ivyo!
Mbona mnatupa mateso!o
Hata tukila hatushibi!
Sawa bana mungu anawaona lakini!!!!!
Yani mda mwingine unataman cjui ata ufanyaje abt tcu... Inaboajeee???
 
TCU toeni jamani
Yaani kila SAA tunawaza tu selection
Basi toeni hata first round tu
 
Nakumbuka nlikua na mzuka wa selection hivi hivi... baada ya kwenda chuo ndani ya semester moja tu nikatamani kurudi nyumbani

hahaha! waache na wao waende mbona watakuwa kama wewe tu, chuo hakina mjanja hata kama uliwahi kuwa Tanzania one
 
hahaha! waache na wao waende mbona watakuwa kama wewe tu, chuo hakina mjanja hata kama uliwahi kuwa Tanzania one
nakumbuka tulikua tunasoma kozi za mechanics yaaani nlikua sielewi kabisa... kidogo niondoke kwa kweli... nikakaza buti kiume nikagongwa ka C na sasa nimemaliza daaaaah chuo si mchezo kabisa
 
Back
Top Bottom