Second Round Application TCU

Dah! Hii Brn hii... Iacheni tu tutaona impact yake huko mbelen Ngoja tusubir.
 
Wadau vp kwa tuliotumia equivalent ya diploma? Coz najarb kufungua cas il ni-log in haifngk! !! Msaada plz
 
Sor guys nmefankiwa kulog in through NOAS bt cjapewa update yoyote
 
wakuu tuwe waelewa kidogo ivi st joseph zote zina matatizo?uyo jamaa anamaanisha st joseph college of health science,tukiwa tunachangia tuchangie kwa oja wakuu,naona uzi mwingi wakiongelea st joseph wanatolea mfano ya arusha,tuambieni je st joseph zote ni matatizo pia toa oja.
 
St. Joseph sio Chuo hicho Siwashauri

Wapeleke cha kwako.Hakuna jambo rahisi,walipofikishwa wadahiliwa wa raundi ya pili sio suala la unataka chuo gani na kipi hutaki!
Wenye ndoto za MD nendeni komaeni na hao wahindi na mtamaliza tu,achaneni na malimbukeni wanaokatisha tamaa.HARD WAY THE ONLY WAY!
 
Wakuu ivi st joseph zote zina matatizo?ata hii college mpya ya health science ambayo aijapokea ata wanafunzi tuwe wakweli wakuu?tunajua st joseph ya arusha ndio inashida saanaa, je ni st joseph zote?
 

Mkuu najihis kuchanganyikiwa mm ni miongoni mwa waliokosa vyuo awamu ya kwanza nilikuwa na c ya biology,,d ya georaphy na chemistry nilipata e je ni chuo gan cha ualimu niapply kwa second round?
 
Wadau vp kwa tuliotumia equivalent ya diploma? Coz najarb kufungua cas il ni-log in haifngk! !! Msaada plz

nadhani nacte bado hawajatoa majina ya waliochaguliwa maana nimeona ata hii second application imeandikwa kwa ajili ya form 6 tu tena uku TCU. Nina imani nacte bado sina uwakika lakini
 

Mm hata st joseph napataka swala ni je kozi za education za science zipo kias kwamba ninaweza kuapply au zimejaa?
 
nadhani nacte bado hawajatoa majina ya waliochaguliwa maana nimeona ata hii second application imeandikwa kwa ajili ya form 6 tu tena uku TCU. Nina imani nacte bado sina uwakika lakini

Thnx, let's wait
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…