Kutoka Mirembe
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 294
- 89
Habari wadau.
Nilikuwa nafikiria uwezekano hapa wa kuwa na Second Master Mwanamke,
au second mistress mwanaume.
Nitafafanua kidogo:
** Kwa mfano,shule yenye mkuu wa Shule mwanaume,ni Head Master.
** Kama msaidizi wake ni mwanamke,huyu ni Second to Head Master[Second Master].
** Mfano mwingine ni pale una Mkuu wa shule mwanamke[Head mistress]
** Msaidizi wake ni Second to Head mistress[Second mistress] hata kama ni mwanaume!
Wakuu,hivi inaweza kuwa sawa eeh,au ndio dawa zinafanya yake,lol!