Second interview NSSF

Second interview NSSF

Hata mimi nimepigiwa jioni hii jmos ifm saa tatu asb kwa 2nd written interview
 
Subiri mkuu watakuwa bado wanaendelea kupgia watu kwani hata hii interview itakuwa na nyomi ya watu vilevile
 
Mwingine katumiwa hii " Dear Applicant, you are invited for a second written interview to take place at IFM in Dar es Salaam on Saturday 10/01/2015 at 9:00am"
 
wanatumia no gani, nimekuta missed call nimepigiwa jioni sijapokea.
 
Mi nimekuta sms yao na missed call saa tatu kasoro usiku.
Swali;
wtitten ya pili kuna nini na huu ni mfumo upi wa kuwa na double written wadau?
 
Mi nimekuta sms yao na missed call saa tatu kasoro usiku.
Swali;
wtitten ya pili kuna nini na huu ni mfumo upi wa kuwa na double written wadau?

Umeandikiwa itafanyika wapi?
 
nimepigiwa tna for second interview, hee ss written mbili jamani wadau kuna nn hko tusaidiane
 
Mimi wamentumia meseji tu bila kupiga simu wakisema ni saa tatu asubuhi tarehe 10 jan 2015 ifm
 
duuh kila mtu saa tatu asubuhi ss tunaulizwa nn tunaomba expirence wadau tusaidiane, mi nadhani this tym ni maswali kuhusu nssf
 
Back
Top Bottom