Second batch vyuo vitatoa lini?

Second batch vyuo vitatoa lini?

Watatoa lini!?

  • yaani inachanganya sana wengine hatuna raha kabisa

    Votes: 0 0.0%
  • yaani inachanganya sana wengine hatuna raha kabisa

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
Mimi nimeshakata tamaa kiukweli kwani chuo nilichokuwa nakutazamia nilivyokosa awamu ya kwanza nilipoteza matumaini kabisa ngoja tuone ila nimeshaona dalili za kwenda chuo ndogo mno mwaka huu labda nipate mkopo kwa hivyo vyuo nilivyoomba
 
kwa sababu ya muda uliobaki wiki hii wanaweza kutoa majina ya awamu ya pili
 
Mda ni Mdogo sana mtu akikosa mkopo itakuwaje?
mi mwenye nasubiri hizo selection.... Nilitolewa na ushidani mwanzo... Vigezo vya TCU nilipata.... Tatizo ushindani ulikuwa mkubwa aisee
 
mi mwenye nasubiri hizo selection.... Nilitolewa na ushidani mwanzo... Vigezo vya TCU nilipata.... Tatizo ushindani ulikuwa mkubwa aisee
Mkuu naona nafasi ya wahenga kurudi chuo imekuwa ndogo sana yani nitatizo wahenga wawekewe utaratibu wao hata wa kurudi chuo kama tunatambua mchango wao katika kujenga taifa
 
Back
Top Bottom