costa doncway
Member
- Oct 5, 2017
- 65
- 17
Naombeni kuulza second batch vyuo vitatoa baada ya muda gani?
Sio kila mtu Mkuu humu wengine vilazanimekuelewa mkuu
Nadhani kwanza baada tar 10 vyuo vinathibisha walio confirm toka multiple admission ndio waangalie nafasi zilizobaki wazi ili wajaze kwa hao wa round ya pili.Si muda, baada ya tarehe 10 october.
Hili ndo tatizo kubwa la mwaka huu kwa round ya pili, kwani inaelekea hata vyuo vyenyewe kwa sasa havijui vina nafasi ngapi kwa kila course. By the time wanajua vijana watakuwa wameshaomba hivyo si ajabu wengine wakaoma course amabzo zimeshajaa au zina nafasi kiduchu sana, System ya CAS ilikuwa inaeleza nafasi ambazo zipo round ya pili.Nadhani kwanza baada tar 10 vyuo vinathibisha walio confirm toka multiple admission ndio waangalie nafasi zilizobaki wazi ili wajaze kwa hao wa round ya pili.
Muda wenyewe mfupi ebu fikiria second round ikamilike tarehe ngapi sijui majina yaende tena tcu, yarudi tena chuoni yatangazwe yatumwe bodi ya mikopo na tar. 28/10 wanafunzi waripoti vyuoni wakati mkulu alisema hataki kusika wanafunzi waende vyuoni bila kujua anapata mkopo au lah, sasa sijui kama huo muda wa siku 19 zilizobaki zinatosha?Hili ndo tatizo kubwa la mwaka huu kwa round ya pili, kwani inaelekea hata vyuo vyenyewe kwa sasa havijui vina nafasi ngapi kwa kila course. By the time wanajua vijana watakuwa wameshaomba hivyo si ajabu wengine wakaoma course amabzo zimeshajaa au zina nafasi kiduchu sana, System ya CAS ilikuwa inaeleza nafasi ambazo zipo round ya pili.
Acha maswali ya kitoto dogo...
Mstari kifo (deadline)bado wewe unaulizia lini majina yatatoka...????
jiongeze spoonfeeding wewe
Naombeni kuulza second batch vyuo vitatoa baada ya muda gani?
Hii ni changa moto kweli, vyuo vingine vinataka ulipe kwanza uwe na mkopo au la. Na kujua unapata mkopo ni jambo moja bali mkopo kuingia ni jambo lingine labda bodi iwe very fast (wafanye kazi usiku na mchana). Hii raundi ya pili haikuwa kwenye calculation ya wizara, tcu, nacte na bodi hivyo kasintofahamu katakuwepo tu.Ni changamoto kwa wanafunzi na wazazi, wenye uwezo wataenda vyuo, wa maskini watasubiri kuona kama ana mkopo lah sivyo wataahirisha kwenda vyuoni.