Wewe sasa unamjua vizuri. Ndio maana kuna mtu hapo juu nilikuwa namuuliza maswali anarukaruka tu.Sebastian Ndege ni mtoto wa Casmir Bigacho Ndege Moja ya Mawakala wa bima wa mwanzo kabla na baada ya Azimio la Arusha.
Alianza na uwakala akiwa Mwanza na badaye Dar es Salaam kipindi hicho ikiwa Ndege Insurance Agency na badaye Ndege Insurance Brokers.
Dr Sebastian Ndege kitaaluma ni Tabibu (Doctor of Medicine) alihitimu Kati ya 2003/2004 Chuo Cha Muhimbili na kufanya Internship Mwananyamala.
Baba yao alimwaacha Mama wa kambo alipofariki na ambaye baada ya muda mfupi alikuja kuwa mwandani wa Mzee Wasira.
Dr Sebastian Ndege pamoja na wanafamilia wenzake hawana mahusiano mazuri na Mzee Wasira kwani wanadhani Mzee Wasira alikuwa anamcheat Baba yao pindi akiwa hai maana wawili hao ni marafiki wa karibu.
Dr Ndege kifupi ni mtafutaji pindi anachukua ofisi ya Baba yake ilikuwa Kama a dead Company na yeye akaisimamisha na kamua kusomea Postgraduate ya Risk Management IFM.
Ndege anayehusishwa na NIDA Ni Asteri Ndege Wana undugu lakini sio wa tumbo Moja na hata mtoto wa Mama yao wa kambo Amani Ndege anajishughurish na bima kupitia Kampuni ya Mama yake Ghati Insurance Brokers.
Pamoja na bima, Band, Hotel kuna biashara nyingi Dr Ndege anajishughulisha nazo
Mkuu, 'yako' ni 'yake'. Ha ha ha ha Ujasiriamali umemtoa. Hongera zake!Sebastian ndege former mtangazaji wa clouds
Kwa sasa ana radio yako
[emoji1] [emoji1] [emoji1] typing errorNdiyo kwanza namskia leo, embu dadavueni na picha yake tumfahamu..
Mkuu, 'yako' ni 'yake'. Ha ha ha ha Ujasiriamali umemtoa. Hongera zake!
Ujanja upi Mkuu?Mtangazaji wa kwanza wa njia panda
[emoji1] [emoji1] [emoji1] typing error
Ujasiriamali na ujanja pia
Ujanja upi Mkuu?
Daktari mmoja ambaye hakupata leseni ya kutibu watu akakimbilia kwenye utangazaji, baada ya baba yake kufariki akawadhurumu nduguzake kampuni ya bima ya ndege na kuifanya yake binafsi na kwenda kuwekeza huko mwanza akiwa na matarajio ya kushika kama clouds ilivoshika jijini alianza kwa mbwembwe mara kumleta Neyo na wasanii wengine lakini show zake zimebuma. Hoteli aliyojenga mwanza wateja ni mpakaa weekend alikosea location huku redio yake ikishindwa kusikika hata misungi
Hii ulivyojibu, ni kama uliwahi kuwa mtumishi wake, then hajakulipa miezi minne.Daktari mmoja ambaye hakupata leseni ya kutibu watu akakimbilia kwenye utangazaji, baada ya baba yake kufariki akawadhurumu nduguzake kampuni ya bima ya ndege na kuifanya yake binafsi na kwenda kuwekeza huko mwanza akiwa na matarajio ya kushika kama clouds ilivoshika jijini alianza kwa mbwembwe mara kumleta Neyo na wasanii wengine lakini show zake zimebuma. Hoteli aliyojenga mwanza wateja ni mpakaa weekend alikosea location huku redio yake ikishindwa kusikika hata misungi
Miezi6Hii ulivyojibu, ni kama uliwahi kuwa mtumishi wake, then hajakulipa miezi minne.
Hahahaha
Pale mtz anapokufaham zaid ya wewe unavojifahamDaktari mmoja ambaye hakupata leseni ya kutibu watu akakimbilia kwenye utangazaji, baada ya baba yake kufariki akawadhurumu nduguzake kampuni ya bima ya ndege na kuifanya yake binafsi na kwenda kuwekeza huko mwanza akiwa na matarajio ya kushika kama clouds ilivoshika jijini alianza kwa mbwembwe mara kumleta Neyo na wasanii wengine lakini show zake zimebuma. Hoteli aliyojenga mwanza wateja ni mpakaa weekend alikosea location huku redio yake ikishindwa kusikika hata misungi
Umeandika kichuki sana, hana jema hata moja?Daktari mmoja ambaye hakupata leseni ya kutibu watu akakimbilia kwenye utangazaji, baada ya baba yake kufariki akawadhurumu nduguzake kampuni ya bima ya ndege na kuifanya yake binafsi na kwenda kuwekeza huko mwanza akiwa na matarajio ya kushika kama clouds ilivoshika jijini alianza kwa mbwembwe mara kumleta Neyo na wasanii wengine lakini show zake zimebuma. Hoteli aliyojenga mwanza wateja ni mpakaa weekend alikosea location huku redio yake ikishindwa kusikika hata misungi