Sebastian Kinyondo Mzee wa Mitemba

Kinyondo katika kampeni zake alikuwa anajiitwa KINYONDO LWASA MABARE(ni nyundo kubwa inayopasua miamba mikubwa) kwa hiyo hakuna anaweza kumshida katika uchaguzi.

Pia nakumbuka mwaka 1990 mpaka 1995 alivyokuwa anawaelza watu kwenye kampeni zake kuhusu simu za mikonini kwamba utakuwa hapa shambani kwako lakini unawasilana na Kobulungo huko London na anamalizia kusema HAKONAKO KAGOBA(faida).

Baada ya hapo anavuta Mtemba Kidogo badala ya kunywa maji. R.I.P Mzee KINYONDO LWASA MABARE
 
Anakumbukwa na wengi nilhkwenda Lubale wakati natafuta mwenyeji wangu nijajitambulisha natoka Katoma nilipokelewa kama shujaa nikawa naitwa Kinyondo. R.I.P.KINYONDO.
 
Alimpa msaada mshikaji wangu na leo hii huko aishiko, jamaa mke wake alimzalia ki-Sebastian ambacho sasa kina karibu miaka 10 sasa. Sijawahi kubahatika kumuona zaidi ya kusikia sifa zake tu huyu Mzee watu wakimshukuru kwa misaada yake.

Kama kuna watoto au ndugu zake basi lazima wawe Proud na ndugu/Baba yao.

Kuna Vi-Sebastian hadi nje ya Tanzania.

anamtoto wake pale tigo, very humble fela n very smart upstairs too...ila misimamo nayo anayo ni critical thinker, ni best wa my bro, bro huniambiaga jamaa hamna mtu anamchukia anapendwa na kila mtu. Rip
 
Daaah,umenikumbusha mbal sn enz za Primary school tulikua tunamuona Mh Sebastian Kinyondo almost daily yeye na Dereva wake walikua wakimpitisha mkewe pale shule(Bunge Primary School)Mkewe alikua Geography Ticha.Bas ticha Kinyondo (mkewe) alikua anatuambia kamsalimien Babu yenu we used to admire ile Kiko Yake, bas tulikua tunamkimbilia kwenda kumsalimia Babu kwenye gar yke enz za 1990's ilikua Gar ya Serikal land cruise nyeupe W-KV( Wazira Wa Kaz Na Maendeleo Ya Vijana)ilikua ukiiona tu Iyo gar unamkimbilia kumsalimia Bab wa Kwanza alikua anapewa zawad buku,buku 2 enz izo buku nying sn badala ya kumpokea Ticha unakimbilia salimia babu akupe hela. Tutakukumbuka Daima Milele Babu yetu Mh Sebastian.Mungu Ailaze Roho yako Mahar Pema Pepon.Amen.Tutazid kukuombea. Salam na mapenz tele kwa Mrs kinyondo popote pale ulipo we will neva stop micing u our Ticha.Ila Ulikua mkal balaa.
 
Nahis atakua ni Rutta Kinyondo kama sijakosea jamaa alikua anasifika kwa akil tangu tuko primary enz za 1990's walim wenzake na mrs kinyondo walikua wanampongeza Sana mrs kinyondo kwa Kua na mtt kichwa tukamjua kupitia walim pale shule na kuna kipind alikuja shule kumsalimia mamake akatukuta tuko tuition ya hesab mamake Ana tuition class lingine. Ticha wetu wa hesab akamuintroduce uyo kijana class jina lake.Kuna mshikaj alikua amekomaa ubaon asolve hesab jamaa akaomba amsaidie akaisolve hata dk 5 hazijaisha alitiririka ubaon km calculate.Rutta yuko vzr sn kichwan. Familia Bora na ilikua Aina Makuu kwakwel.
 
Nashukuru Mkuu kwa Info. Ntamjulisha baba yake Sebastian kiasi kwamba akiwa mitaa ya Dar na Mwanaye, basi watamtafuta ili Mtu na Baba yake wapige picha ya pamoja. Wakati mwingine mtu asiye ndugu, anaweza kuwa ni ndugu yako kabisa. Jamaa kwa kweli milele anamshukuru Mzee Kinyondo ingawa hao akina Rutta Kinyondo labda hilo hawalifahamu.
anamtoto wake pale tigo, very humble fela n very smart upstairs too...ila misimamo nayo anayo ni critical thinker, ni best wa my bro, bro huniambiaga jamaa hamna mtu anamchukia anapendwa na kila mtu. Rip
 
Daaah,umenikumbusha mbal sn enz za Primary school tulikua tunamuona Mh Sebastian Kinyondo almost daily yeye na Dereva wake walikua wakimpitisha mkewe pale shule(Bunge Primary School)Mkewe alikua Geography Ticha.Bas ticha Kinyondo (mkewe) alikua anatuambia kamsalimien Babu yenu we used to admire ile Kiko Yake, bas tulikua tunamkimbilia kwenda kumsalimia Babu kwenye gar yke enz za 1990's ilikua Gar ya Serikal land cruise nyeupe W-KV( Wazira Wa Kaz Na Maendeleo Ya Vijana)ilikua ukiiona tu Iyo gar unamkimbilia kumsalimia Bab wa Kwanza alikua anapewa zawad buku,buku 2 enz izo buku nying sn badala ya kumpokea Ticha unakimbilia salimia babu akupe hela. Tutakukumbuka Daima Milele Babu yetu Mh Sebastian.Mungu Ailaze Roho yako Mahar Pema Pepon.Amen.Tutazid kukuombea. Salam na mapenz tele kwa Mrs kinyondo popote pale ulipo we will neva stop micing u our Ticha.Ila Ulikua mkal balaa.

i think wewe miaka iyo bunge tulisoma wote mie nimemaliza 92.
 
Serikali tatu kumbe ni mwendelezo, ccm kumbe nao waliwai kuomba serikali tatu G55
 
Nakumbuka kuna siku nilisoma gazeti la Raia mwema kwenye column ya Jenerali aliweka zile hansard za wabunge G55, akaweka ya hansard ya Mzee Kinyondo .Mzee alikuwa vizuri upstair. Tutamkumbuka daima Mzee Sebastian Nyondo.
 
Kuna viongozi hatupo nao hawakumbukwi lakini walilifanyia taifa hili mambo makubwa sana. pamoja na Kinyondo hapa namkumbuka Mzee wa Shambani Wiki hii - si mwingine ni EDWARD BARONGO aliyewalazimisha kulima Tumbaku wananchi wa Songea. Tumbaku ndo zao la biashara kuu huko tokea wakati huo hadi sasa. Pia aliwazindua wahaya kuwa maeneo la RWEYA yanaweza boreshwa yakawa productive. alifanya kwa vitendo na akazalisha ndizi nyingi na bora kwa kutumia mbolea ya samadi na mboji. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
Kiboko yake alikuwa ni Sokoine (RIP) alimkamata kwenye uhujumu uchumi
 
dahh umenikumbusha mbali sana ..nakumbuka wakati ule ni waziri wa kazi ,kuna mlemavu mmoja alimvizia pale jengo la ofisi yake ile anatoka tu kwenye lift akamrukia akamsiliba mangumi na kumpiga ngeta kama wezi wa simu mwananymala ...aaah pumzika komredi kinyondo
alimfanya nini mpk akampiga?
 
Back
Top Bottom