Mpira umefungwa microchipBaadhi ya "conspiracy theorists" wameanza kuhoji namna ambavyo matukio na mifumo ya mashindano ya Kombe la Dunia hujitokeza, na kufanya mashindano hayo yaonekane kana kwamba yameandaliwa (scripted) kwa namna fulani.
Kuna madai kwamba baadhi ya video zilizowahi kuwekwa kwenye YouTube zilieleza kuwa mpira unaotumika kwenye Kombe la Dunia una sumaku (magnet) inayomwezesha mtu asiyejulikana kufanya baadhi ya maamuzi au kuathiri mwelekeo wa mchezo kulingana na maelekezo aliyopewa. Video hizo zinadaiwa kuondolewa baadaye.
Licha ya ukubwa na hadhi ya Kombe la Dunia, baadhi ya watu wanaamini kuwa huenda tunakuwa tunatazama mchezo unaodhibitiwa, kana kwamba ni "video game".
Baadhi ya "conspiracy theorists" wameanza kuhoji namna ambavyo matukio na mifumo ya mashindano ya Kombe la Dunia hujitokeza, na kufanya mashindano hayo yaonekane kana kwamba yameandaliwa (scripted) kwa namna fulani.
Kuna madai kwamba baadhi ya video zilizowahi kuwekwa kwenye YouTube zilieleza kuwa mpira unaotumika kwenye Kombe la Dunia una sumaku (magnet) inayomwezesha mtu asiyejulikana kufanya baadhi ya maamuzi au kuathiri mwelekeo wa mchezo kulingana na maelekezo aliyopewa. Video hizo zinadaiwa kuondolewa baadaye.
Licha ya ukubwa na hadhi ya Kombe la Dunia, baadhi ya watu wanaamini kuwa huenda tunakuwa tunatazama mchezo unaodhibitiwa, kana kwamba ni "video game".
Kivip!? Kwamba haiwezekani!?Hakuna kitu kama hicho...
Kabisa hii ni kweli matumizi yake yanaweza kuwa mengi sana.Mpira umefungwa microchip
Kivip mkuu kwamba haiwezekani!?ila afrika kuna mambo na mawazo mengi ya ajabu ajabu
Changamsha ubongo mkuu.Mkinyqa visungura na kuvuta mchanganyiko wa bhangi na tumbaku ndo mnakuja kuanzisha uzi za kipumbavu kama hizi. Hayo mmesimuliana kijiweni
Kivip!?Yote haya labda kutokana na chakula chetu pendwa cha ugali!! 😂
Na ndiyo maana Betting companies zinapiga hela ya kutoshaChangamsha ubongo mkuu.
Acha kuishi kwenye box.
Na ndiyo maana Betting companies zinapiga hela ya kutoshaKama ni hivyo mbona ni rahisi kupanga matokeo?
Mm sio shekhe wala ostadhbila shaka wewe ni shekh au ostadh
Kivip!?Sisi waafrika weusi hatuna uzalendo na nchi zetu