Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,788
- 58,399
Sabufa nina screenshot yako ujue...Sitaki kuskia mambo ya screenshot wala kutunza risiti, kuna siku dada moja aliweka picha yake selfikani mi nikaichukua nikacrop nikaiacha huko gallery.... Nlidakwa ikabidi nidanganye maana manzi anajua simu yangu hua haina picha wala nyimbo
Weka niioneSabufa nina screenshot yako ujue...
Ngoja niitafute ahahah