doup
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 2,718
- 2,901
Tuwe makini, au haka ndio kamchezo kwa kujua kunawazembe watajisahau tu. Vimekuwa vingi sana vipost vya design hiiMkuu hizo # mbona zinasomeka hapo juu!
Tuwe makini, au haka ndio kamchezo kwa kujua kunawazembe watajisahau tu. Vimekuwa vingi sana vipost vya design hiiMkuu hizo # mbona zinasomeka hapo juu!
Jamani baby wangu zawadi tena, hata kazini natoroka mimii,nakujaa. Love youuUkitoka kazini pita kule kwa siku zote kuna zawadi yako baby.
Hahaha!![emoji2][emoji2] cha arusha sasa kikanitoa nishaiSiku hiyo ulivuta bangi za wapi kiongozi.