Screen shot tecno m3

umefanyeje hiyo factory setting maana hiyo huwa haisumbui labda ksma kuna tatizo la hardware

nimefanya km ulivyo elekeza 2* cjafanikiwa, inavyo onekana cm card haiwi detected kwenye slot, sina hofu na hard ware coz tatizo limeanza baada ya kuchange setting za internet km ulivyo elekeza kwa kutumia code *#*#4636#*#*. matokeo yake baada ya kukaa CDMA imekaa uknown na haitaki kutoka, najuta kusoma hii thread
 

usijilaumu mkuu hapo la msingi iformat upya hiyo simu yako kwa kuifanyia factory setting futa kila kitu ili itakapo reboot ianze upya kila kitu format kila kitu kasoro memory card
 

Roll back changes. Ulitakiwa kuselect WCDMA na sio CDMA. Kuna tofauti hapo.

Unachotakiwa kufanya sasa ni kupiga twna *#*#4636#*#* alafu uselect WCDMA preffered, back to normal. Nipe mrejesho.

Factory reset haibadilishi hizi setting.
 
Natumia M3 pia, hiyo network type inapatikana hata remote areas kwenye edge pekee au ni mijini tu wadau?

Hii ni simply latency. Sidhani kama haitopatikana in remote areas. Na kama nimekosea utagundua ukiactivate hii setting mtandao unakata kata sana. Itoe.
 
Correct steps.


Hapo juu sijaweka * ya mwisho. Ukiiweka tu inakuja testing menu..







Kwa wenye double line ukirudi utaona option ya SLOT1 au SLOT2.
 
nimefanya hivyo mkuu bt no changes, card slot 1, haifanyi kazi bt slot 2 inafanya kazi.

Hizo changes za PRISCUS JR nna wasiwasi nazo sana. Tena sana. Ushauri wangu, rudi manually urudishe GSM + WCDMA. Alafu utumie njia ya ile namba. Hapo lazima tatizo litatuke.
 
Last edited by a moderator:
Roll back changes. Ulitakiwa kuselect WCDMA na sio CDMA. Kuna tofauti hapo.

Unachotakiwa kufanya sasa ni kupiga twna *#*#4636#*#* alafu uselect WCDMA preffered, back to normal. Nipe mrejesho.

Factory reset haibadilishi hizi setting.

nimejarib option zote katika list bt Unknown haitoki imegoma kabisa
 
nimejarib option zote katika list bt Unknown haitoki imegoma kabisa

Kama ulingia kwenye settings za simu, network settings na ukabadilisha type kama alivyofanya Priscus hapo juu basi inakubidi uiridishe default
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…