Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,063
- 3,630
- Thread starter
-
- #41
Zinatakiwa zipotee unapoandika ile reli ya mwisho. Kwenye screen inayokuja ndio unaenda Phone Information
leo nimegundua kitu hapa, kuwa kuna tecno clone jamani duh
imekubali, lakini kwa tecno m5 pia kuna njia nyingine mbadala ya kulifanya hilo jambo bila ussd, unafanya hivi
setting>more> mobile networks>network mode> then choose ur network operator, eg voda, tigo, or airtel> WCDMA only
Mkuu hiz tecno zipo za majina tofaut m3,l5,m3,m5,phantom etc,hiz tofaut zake ni nin na ip iliyo bora na garama nafuu.na vp ukilinganisha na nokia lumia (nataka nihamie kwenye lumia au tecno)ila nina wasiwas na lumia kwa hiyo window phone 8 na mambo yao ya kuapdate yanaweza nigalimu,naomba ushauri wakuu!
utofauti wa hizo tecno upo katika ukubwa wa screen(display), processor, camera na RAM. katika kundi ulilolitaja, tecno M5 na Phantom ndio nzuri zaidi na zinaelekeana karibia kila kitu kasoro processor, ukubwa wa display na bei
Vp ukilinganisha na lumia kama nilivyouliza hapo juu?
subiri wataalam wa tecno waje
ukilinganisha na lumia specification za tecno zipo juu
*#*#4636#*#* does magic.....full WCDMA
naomba kuelekezwa hii kitu natumia tecno M5 hizo namba unaziandika wapi? maana kwangu nikiz USSD inaniletea information mbalimbali za simu
kaka ockavian naomba msaada wako nimejaribu kwa cm yangu techno p3 menu imekuja nikaweka CDMA baada ya mda network imekata kurudi tena nakuta baada CDMA niliyoweka ipo UNKNOWN kila mbinu nimejaribu kuitoa bila mafanikio sina network kutwa nzima ya Leo naomba msaada
Fuata maelekezo yangu kwa picha utafanikiwa
#Wabo
naomba msaada wakuumenu ya mobile network not active siwezi kuseleck
naomba msaada wakuu
kaka ockavian naomba msaada wako nimejaribu kwa cm yangu techno p3 menu imekuja nikaweka CDMA baada ya mda network imekata kurudi tena nakuta baada CDMA niliyoweka ipo UNKNOWN kila mbinu nimejaribu kuitoa bila mafanikio sina network kutwa nzima ya Leo naomba msaada
ifanyie factory setting, lakini toa memory card yako kwanza ili usipoteze data zako ulizotunza kwenye SD card
fuata maelekezo yafuatayo
1.
2.
3.
embu jaribu hiyo nadhani setting zitarudi normal
nimefanya hivyo mkuu bt no changes, card slot 1, haifanyi kazi bt slot 2 inafanya kazi.