scour.com

scour.com

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,502
Reaction score
6,460
Habari wana JF??

scour.com ni nini maana naona inaleta shortcuts zisizo na msingi ninapofungua websites.

Nawezaje kuondoa hizo link kwenye laptop yangu na huwa inaingiaje??

Wataam nawasilisha
 
Nashukuru sana kwa kuchangia but nimekumbana na kingine zaidi! Nilifuata hiyo link uliyoweka hapo nikafata walichonitaka kufanya tatizo halijakwisha ila cha ajabu laptop ikafuta desktop background na haikubali kuweka tena hata ukiweka picha zake za sample (zinazokuja na pc moja kwa moja).

Nikichagua picha niweke kama desktop background inakataa na kutoa maelezo ya "This image can't be set as wallpaper. An internal error occurred" so, desktop ipo blank tu (nyeusi)

Pia tatizo la hizo za link za scour.com bado lipo tu na linaedelea kuwepo.
 
Mkuu cha muhimu copy files zako sehemu safe afu format conputer
 
Back
Top Bottom