C CTX JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 1,273 Reaction score 986 Dec 28, 2017 #1 Napenda movies Na miongoni mwa movies nazozisubiri mwakani ni Hii hapa Accident Man. Jamaa hajawahi niangusha katika movie zake,najua Na Hii itakua Tamu tu Inatoka 9 Feb 2018. Tuombe uzima inshalaah, mungu atufikishe mwaka mwingine Salama.
Napenda movies Na miongoni mwa movies nazozisubiri mwakani ni Hii hapa Accident Man. Jamaa hajawahi niangusha katika movie zake,najua Na Hii itakua Tamu tu Inatoka 9 Feb 2018. Tuombe uzima inshalaah, mungu atufikishe mwaka mwingine Salama.
WAIKORU JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 1,588 Reaction score 2,463 Dec 28, 2017 #2 Michael J White ..noma sana huyo mchizi .. Scot mwenyewe alikaa...(undisputed 2)
M mwalimu lyapongoka Senior Member Joined Dec 28, 2016 Posts 173 Reaction score 207 Dec 28, 2017 #3 WAIKORU said: Michael J White ..noma sana huyo mchizi .. Scot mwenyewe alikaa...(undisputed 2) Click to expand... sasa c alikaa kwenye movie ww!??? Hata hivo boyka was man of the movie
WAIKORU said: Michael J White ..noma sana huyo mchizi .. Scot mwenyewe alikaa...(undisputed 2) Click to expand... sasa c alikaa kwenye movie ww!??? Hata hivo boyka was man of the movie
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,699 Dec 28, 2017 #4 Boyka ndio kali zile muvi hizi zingine kidogo amepoa poa hashereheshi vizuri
ekessy JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 258 Reaction score 151 Jan 3, 2018 #5 Kuna kitu legend of Hercules kainogesha kinoma kacheza kama katili
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,506 Reaction score 11,439 Jan 3, 2018 #6 WAIKORU said: Michael J White ..noma sana huyo mchizi .. Scot mwenyewe alikaa...(undisputed 2) Click to expand... Ile movie imetamba sana. Boyka na wenzake wako vizuri mnooo! Naamiji Adkins kwenye hii mpya atatisha pia
WAIKORU said: Michael J White ..noma sana huyo mchizi .. Scot mwenyewe alikaa...(undisputed 2) Click to expand... Ile movie imetamba sana. Boyka na wenzake wako vizuri mnooo! Naamiji Adkins kwenye hii mpya atatisha pia
mwandeko JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 286 Reaction score 120 Jan 3, 2018 #7 Hard target 2 kaharibu bora ile ya van dame