Haikuandikwa korosho na bibo, ila kama Revenue, currency, defence,international trade na foreign affairs ni mambo ya muungano.mkuu hapo nilipobold naomba ufafanuzi imeandikwa wapi kwenye makubaliano ya muungano wetu!!!!
Tatizo watu hawaelewi maana wala tofauti baina ya mambo ya Muungano na yasokuwa ya Muungano zaidi ya kwamba kila mtu ana chake.Haikuandikwa korosho na bibo, ila kama Revenue, currency, defence,international trade na foreign affairs ni mambo ya muungano.
Basi bailout si rahisi kuiepuka, hata ukiwa na serikali tatu. Germany ana-protect Euro anapo-bailout Greece. Siyo kwamba anawapenda anawapa msaada wa ila inabidi.
I guarantee you,Tatizo watu hawaelewi maana wala tofauti baina ya mambo ya Muungano na yasokuwa ya Muungano zaidi ya kwamba kila mtu ana chake.
Wanashindwa kuelewa kosa kubwa la kimfumo lilosababisha haya kuwa ni kukosekana kwa mfuko wa pamja maana mambo ya muungano haya 22 ni amoja na (9) Mikopo na Biashara ya Nchi za Nje na (10) Kodi na Mapato inayolipwa na watu binafsi na mashirika,ushuru wa forodha na ushuru wa bidhaa zinazotengenezwa nchini Tanzania unaosimamiwa na Idara ya Forodha.
haya ni mambo ambayo yanakuwa chini ya serikali ya JMT ambayo nashangaa kuona watu wakibishana juu ya haya kwa vigezo vya ajabu kabisa kuhusishana uwepo wa serikali 3. Hata tukiwa nazo haya mambo yataepukwa vipi maanake sijaona nchi yoyote yenye muungano na hata kama haina maswala haya yakawa chini ya mamlaka ya serikali ndogo. Na wala sijui wanapata wapi hesabu za mahusiano yake na mfuko wa pamoja..
Hakuna uhusiano wowote kati ya idadi za serikali na ku-bail out.
Kama nilivyosema, achilia mbali federations, hata confederations kuna bail-out (As you'd like it to be called).
Kwa hiyo, hapo tena umekosea (kosa lako ni dhana, siyo hisia kama wengine) kwa sababu miungano na bailouts ni sawa na korosho na bibo.
Mimi huwa siandiki mambo kwa papara.
Kwa sababu nakuheshimu na sikuoni wewe kama mjinga au mpumbavu, basi fuatilia hii nchi ndogo inaitwa Mauritius
Utuambie GDP,source yake ya income, % below poverty line, kodi inayokusanywa etc ...
Hii nchi ni kisiwa kama unguja na kina watu 1.3 million. Siyo suala la kukamuliwa bali ni suala la sheria na haki.
India,China and Japan would be more powerful economically than EU. But Sino-Japan and Sino-Indian relatioships (political) trumps every economic reason.Nadhani ni bora tukubaliane kuwa hatuwezi kukubaliana kabisa. Dhana yako kwako haileti maana kwangu hata kidogo. Naiona kuwa msingi wake ni itikadi ya kisiasa but it gravely lack economic sense.
For people with working brains, unions whether in form of federalism, confederation-ism, unitary-sim is a matter of both opportunity and necessity, not political prestige kama CCM inavyofanya sasa.
Ukumbuke pia kuwa kushindwa kwa kura ya Scotland sababu ni kuwa main driving force behind yes campaign was prestige, not economics. Na ukumbuke kuwa kwa sasa hapa Tanzania, Zanzibar wanaangalia zaidi prestige, CCM wanata kuonesha watu kuwa walikuwa sahihi na wako sahihi, bara issue kubwa ni uchumi.
Hehehe...Kobello.
Nafikiri hukufahamu kuwa suala langu lina mantiki kubwa sana. Kumbuka kuwa wewe umesema TRA, na kumbuka kuwa TRA ni chombo cha muungano kwa maana kinafanyakazi Tgk na Znz.
Sasa kama TRA kikiimarisha utendaji wake katika kukusanya kodi basi uimarishaji huo utakuwa kwa pande zote sio znz pekee. Kwa msingi huo hata siku moja Znz haitaweza kukusanya 10% ya revenue ya TGK hilo haliwezekani.
Labda sharia hizo za ukusanyaji zikazwe kwa upande wa Znz tu jambo ambalo haliwezekani. Labda ikasimu ukusanyaji wa kodi hiyo ya muungano kwa ZRB (Znz revenue board) ambayo inafanyakazi Znz tu.
Kuwa makini mkuu.
Pole sana.
Kwavile umekubali kuwa hujui 21% ya ajira walizotengewa wazanzibar zinapataikana kwa formula gani, na kwavile hujui 4.5% ya mapato ya Tanganyika, huna basis ya namna yoyote kusema znz inapewa fungu dogo.Nguruvi3
I will skip the mainland namesake argument and continue with other points in your argument.
Unaniuliza maswali ambayo binafsi siwezi yatolea majibu as to how they were concluded kwa sababu given the same riddle different people might arrive to a different conclusion.
Therefore how did they derive those quotas za ajira na mapato siwezi yatolea majibu kwa sababu hivyo vitu vina ambatana na argument za uchumi presented with facts, estimated costs za kuendesha serikari, ajira za serikari as to fair participation (swala ambalo binafsi sidhani kama ni la tija kwa sababu naamini administration za serikari kazi yake ni kufanya execution ya chama cha siasa and employees should be given priority purely based on skills possessed).
Lakini nachoweza kukifafanua ni kwamba hili serikari isichangiwe hela au kuwa tegemezi inatakiwa iwe na enough budget ya kuweza fanya hivyo na kipato ambacho kinaingia kila mwaka kuweza endesha serikari na mipango yake. Na serikari inapojikuta hela zinazoingia ni kiasi kidogo hivyo kuweka asilimia kubwa kwenye administration kuta deprive maendeleo au wajibu wao kwa wananchi ujikuta wanapunguza ukubwa wake kwa kufuta idara, kupunguza wafanyakazi na mengineo bila ya kuathiri njia za kufikia raia na kuwatumikia.
Sasa basi who knows kwa mfumo wa sasa pengine kwakuwa ZnZ inapewa kiasi ambacho kinamudu ukubwa wao ndio maana awaoni sababu ya kupunguza ukubwa wa serikari kwa sababu hela inatoka kwenye budget ya Dodoma, labda kwa sababu ya kujua wana haki kama watanzania wengine ndio maana wanaona wana haki ya kutengewa quotas za ajira kwenye serikari ya muungano as partners and etcetera kwa kudhania to do with the situation ya muungano na jinsi mambo yanavyofanyika kwa sasa na kwakuwa sipo kwenye negotiation table siwezi wasemea wengine.
Kwa hiyo unapotoa economic devolution unaweza na wewe ku-argue ajira ni kwa sababu ya watanzania na aijalishi mtu katoka wapi provided unaweka misingi ya kupata ajira isiyo na ubaguzi wala upendeleo na zitaenda kwa wakazi wanaoishi hapo bila ya kujali asili ya mtu.
Unaweza pia usitoe machango wa uendeshwaji wa serikari yao au ukatoa kwa mkopo na wao kwakuwa wanamajukumu na uchumi wao wanaweza ingia siasa za maendeleo na kuacha kuilaumu bara kwenye siasa zao kwa kulivaa koti muungano kwa sababu wana tools za kuboresha uchumi wao kwa mbinu zao. Hayo yatatatua hoja za gharama ya serikari na hoja za maendeleo kama ilivyo bara kwa sasa na kupunguza mengi tu ambayo kwa sasa ni malalamiko yasiyo ya lazima. In the long tukabaki tukitafakari yale ya muungano na tunasogea vipi kama hayo yanaweza fanyika bila ya kuwa na serikari tatu wala kuathiri social contract ya sasa.
Na hizo ni possibilities kabisa za kiuchumi kwa mfano Scotland ina deni benki kuu ya UK na wakati wa mshike mshike wa campaign walikumbushwa kabisa hilo wasili sahau. Vile vile mara baada ya kura ya wamedai waweze pewa more autonomous ya kiuchumi that includes kuweza kupata hela outside taxes revenue independently na tunajua facilitator atabaki Benki kuu ya UK isitoshe serikari yenyewe kabla ya hata kushinda kura ya maoni tayari ilikuwa inatafakari namna ya kuzipa fursa hizo hizo zilizpo kwenye muungano.
Kwa hivyo creativity inahitajika ata kama kuna same foreign policies inawezekana kabisa kuwekeana mipaka fulani atu-deal naye zaidi ya mipaka ifuatayo wote kwa pamoja kama nikuogopa unwanted influence kuingia kwenye muungano.
If only ungenipata kwanini inakuwa vigumu kuongelea vitu kama hivyo bila ya kujua facts presented not just politically but even economically kuviongelea inakuwa ni kutokwa na mapovu tu, especially the 4.5% of budget na vipaumbele vya taifa kama kuna room to manouver. Huwezi kupanga hata budget ya biashara ya kibanda cha machungwa bila ya kujua ni minimum kiasi gani kinaitajika sasa wewe unajua vipaumbele vya maendeleo ya ZnZ mpaka useme 4.5% percent is more than enough no to give restrictions.Kwavile umekubali kuwa hujui 21% ya ajira walizotengewa wazanzibar zinapataikana kwa formula gani, na kwavile hujui 4.5% ya mapato ya Tanganyika, huna basis ya namna yoyote kusema znz inapewa fungu dogo.
Sometimes its just the field rationale that forms the basis of commonsense ndio maana kabla ya kutolea vitu vingine kauli pata kwanza background information; alikadhalika vitu vingine you might not need that information its just logic as in 4.5% in relation to propel growth thats just restrictions.Huwezi ukafanya arguement ukiwa huna facts.
Na mimi niliposema mnapenda kujifurahisha je umeitimishaje?Uliposema ninaandika kwa hisia nadahani unaona jinsi nilivyo na logic na jinsi ulivyo na hisia.
Sina hata mjomba na ukubwa wa familia yetu akuna direct relations yeyote na Mzanzibari ata wakuamia bara ni majuzi tu niece wangu ndio kaolewa huko tena nje ya nchi alikadhalika nina mabinamu wamanga pande zote mbili na wengine wanapiga kiluga kushinda mimi.Wewe kama wazanzibar mpo level moja ya kudai bila ushahidi. Wznz miaka mingi wamekuwa katika denial state kuwa wamebebwa.
Ndio maana wewe na Barubaru see eye to eye.Leo wamefunga midomo yao hakuna anayeweza kutetea kuonewa kama ulivyoshindwa wewe.
The feeling is mutual utakapoweza kufafanua 4.5% inakidhi vipi vipaumbele vya ZnZ we might have a starting point na ajira zinatengenezeka vipi kwenye taifa. Hayo ya IGP mmanga sijui nimeyaweka saa ngapi now that you have brought hivi kwanini tena atuna, kuna ata kwanza aliewahi kujiandikisha kwenye jeshi la polisi mbona zamani walikuwepo wanajeshi wenye vyeo vya juu wamanga (tena wanaongea viluga kabisa vya mahala walipotoka; usikae kwenye dunia ndogo ukadhani wananga awajui viluga asili or they are more or less than the local huko walipo) na walipigana Kagera au unadhani IGP anateuliwa tu bila ya mafunzo au kuwa polisi in the first place. Wewe kwa kujianzia na kujifurahisha ndio mwenyewe; me out.Utakapoweza kueleza kwanini 21 na 4.5 tutajadiliana zaidi, kwasasa sina sababu za kujadiliana kwa kitu usichojiua, zaidi ya znz inaonewa. Huna facts za ku back up madai yako bali hisia kama zile kwanini hatuna IGP mmanga! pathetic
India,China and Japan would be more powerful economically than EU. But Sino-Japan and Sino-Indian relatioships (political) trumps every economic reason.
My observations are based on facts, not mere opinions. That's the only reason that history will never be on your side.
kwanza, Singida hupata on average 1billion Shs kwa mwezi kutoka tresury, kwa mwaka almost 12 billion Shsda ni mzigo zaidi kwa taifa.
Tunaweza kukubaliana iwapo una "wealy held strong views", yaani ukubali kuelewa.I wonder what has China, India or Japan has to do with this in the context of our discussion. But just in case, despite all political bickering that you hear between them, those countries are very serious when it comes to economy, they put all politics aside and concentrate on the big thing, economy. But we defy economics and pay attention kwenye itikadi za kisiasa. Pure and simple ni uj!nga.
We are The united republic, Zanzibar and Tanganyika are not to independent entities, like China, Japan and India. The matter under discussion kwenye uzi huu, is unfair and poor management of the the union.
Mkuu naona ni bora tukubaliane kuwa hatuwezi kukubaliana.
If only ungenipata kwanini inakuwa vigumu kuongelea vitu kama hivyo bila ya kujua facts presented not just politically but even economically kuviongelea inakuwa ni kutokwa na mapovu tu, especially the 4.5% of budget na vipaumbele vya taifa kama kuna room to manouver. Huwezi kupanga hata budget ya biashara ya kibanda cha machungwa bila ya kujua ni minimum kiasi gani kinaitajika sasa wewe unajua vipaumbele vya maendeleo ya ZnZ mpaka useme 4.5% percent is more than enough no to give restrictions.
Sometimes its just the field rationale that forms the basis of commonsense ndio maana kabla ya kutolea vitu vingine kauli pata kwanza background information; alikadhalika vitu vingine you might not need that information its just logic as in 4.5% in relation to propel growth thats just restrictions.
Na mimi niliposema mnapenda kujifurahisha je umeitimishaje?
Sina hata mjomba na ukubwa wa familia yetu akuna direct relations yeyote na Mzanzibari ata wakuamia bara ni majuzi tu niece wangu ndio kaolewa huko tena nje ya nchi alikadhalika nina mabinamu wamanga pande zote mbili na wengine wanapiga kiluga kushinda mimi.
Ndio maana wewe na Barubaru see eye to eye.
The feeling is mutual utakapoweza kufafanua 4.5% inakidhi vipi vipaumbele vya ZnZ we might have a starting point na ajira zinatengenezeka vipi kwenye taifa. Hayo ya IGP mmanga sijui nimeyaweka saa ngapi now that you have brought hivi kwanini tena atuna, kuna ata kwanza aliewahi kujiandikisha kwenye jeshi la polisi mbona zamani walikuwepo wanajeshi wenye vyeo vya juu wamanga (tena wanaongea viluga kabisa vya mahala walipotoka; usikae kwenye dunia ndogo ukadhani wananga awajui viluga asili or they are more or less than the local huko walipo) na walipigana Kagera au unadhani IGP anateuliwa tu bila ya mafunzo au kuwa polisi in the first place. Wewe kwa kujianzia na kujifurahisha ndio mwenyewe; me out.
Hehehe...
Main point hapa ni uchumi wa Zanzibar kukua ili uchumi huo uingize kodi kubwa. Siyo kukamuliwa, kwa sababu Zanzibar nayo lazima ilishe jeshi na mambo mengine.
Utaelewa tu.
Watu wanaweza kutuambia mikoa inaplelekelewa kiasi gani cha fedha. Watu hao hao hawawezi kutueleza haya;
1. Formula gani imetumika znz kupata asilimia 21 za ajira za Tanganyika
2. Formula gani imetumika znz kupewa 4.5% ya pato la Tanganyika.
Kwa wale mnaodhani 4.5% bi kidogo, ukweli ni kuwa kiasi hicho ni kikubwa kuliko mapato ya znz kwa mwaka.
Swali, ni formula gani imetumika znz kupata uhalali wa kupewa rasilimali za Tanganyika tena kwa % na si kama msaada.
Hujajibu swali, tunataka kama raia tuambiwe ni kigezo gani kimetumika. Nchi kama Uingereza tunajua wana formula, sasa hapa kwetu wanatumia nini.Nguruvi3,
Waliotoa farmula hiyo ni TUME YA PAMOJA YA FEDHWA YA NCHI HIZO MBILI YAANI TANGANYIKA NA ZNZ. Ni kundi la wataalamu wa uchumi na fedhwa kutoka kila upande yaani Tanganyika na kutoka Znz walikaa chini na kufanya study ikiwemo kupitia taarifa mbalimbali za fedhwa na uchumi kutoka BOT na TRA na sehemu nyingine nyingine lakin kubwa waliangalia mchango wa kila nchi wakt wa muungano wenu kiuchumi na kutazama ajira kwa kila idara za muungano na kulinganisha na mchango wake kiuchumi ndio jopo hilo (Joint Finance Commission ) wakaja na formula hiyo.
Usifikiri walikaa wanasiasa na kufanya maamuzi haya bali hao wataalamu waliobobea katika uchumi kutoka pande hizo mbili za muungano.
Na ukitaka kujua namna walivyopata hiyo formula PITIA RIPOTI YA TUME HIYO (JFC) kwenda kwa Rais wa JMTz na wa Znz wamebainisha bila kificho kila kitu.
Kwa kukusaidia zaidi afisi za JFC zipo Sukari house maeneo ya posta huko Dar es salaam au hata visit website yao utajifunza mengi japo kwa uchache
Pole sana
Ndugu yangu, nimeuliza swali Happy feet hana jibu na wewe huna jibu.Happy Feet,
Umemuuliza suala la maana sana kuhusu hiyo 4.5% imepatikanaje na kitu gani au mambo gani yaliyotazamwa kwa kina na kukokotolewa mpaka kufikia hapo. Lakin kubwa ni nani hao waliokokotoa mpaka kukubaliana hivyo?
Lakin kubwa mara zote nauliza KWANINI ILE SHARIA YA JMTZ YA KUANZISHA JOINT FINANCE COMMISSION iliyopitishwa na bunge la JmTz na rais wa JMTz zaidi ya miaka kumi sasa haijaanza kutekelezwa? Je JMTz inakhofia nini kuitekeleza?
Lakin mwisho Happy Feet, kumbuka kuwa kuna tofauti kubwa ya kulalamika na kunung'unika. Kulalamika ni ile mtu kusema hadhwarani tena mchana kweupeee kuwa kuna jambo amedhulumiwa au kuonewa na watu wote wanasikia.
Kunung'unika ni ile hali ya mtu anaumizwa na kunyanyasika lakin hawezi kulizungumzia mbele ya watu madhira hayo bali anakaa pekee yake na kujisemeza mwenyewe mwenyewe namna anavyopata madhwila ya kunyanyaswa au kudhulumiwa.
Sasa mwenzetu huyo ana tarbia ya kunung'unika tu na ndio maana wengine tunaojua basi tukinafasika huwa tunampa darsa ili kumtuliza.
Ahsantum kwa darsa lako.
Nguruvi3,
Waliotoa farmula hiyo ni TUME YA PAMOJA YA FEDHWA YA NCHI HIZO MBILI YAANI TANGANYIKA NA ZNZ. Ni kundi la wataalamu wa uchumi na fedhwa kutoka kila upande yaani Tanganyika na kutoka Znz walikaa chini na kufanya study ikiwemo kupitia taarifa mbalimbali za fedhwa na uchumi kutoka BOT na TRA na sehemu nyingine nyingine lakin kubwa waliangalia mchango wa kila nchi wakt wa muungano wenu kiuchumi na kutazama ajira kwa kila idara za muungano na kulinganisha na mchango wake kiuchumi ndio jopo hilo (Joint Finance Commission ) wakaja na formula hiyo.
Usifikiri walikaa wanasiasa na kufanya maamuzi haya bali hao wataalamu waliobobea katika uchumi kutoka pande hizo mbili za muungano.
Na ukitaka kujua namna walivyopata hiyo formula PITIA RIPOTI YA TUME HIYO (JFC) kwenda kwa Rais wa JMTz na wa Znz wamebainisha bila kificho kila kitu.
Kwa kukusaidia zaidi afisi za JFC zipo Sukari house maeneo ya posta huko Dar es salaam au hata visit website yao utajifunza mengi japo kwa uchache
Pole sana