Scolastika ni shule ya CCM??

RealTz77

JF-Expert Member
May 18, 2009
738
40





hii ni shule ya scholastica moshi,je inamilikiw na CCM?au ndo kujikomba kwa wafanyabiashara?hii tabia inasaidia nini hasa kujikomba kwa chama?means chdema au CUF etc wakishika nchi hii skul watachange uniform au zitabakia na rangi hizi?wenye habari tafadhali tupatieni ukweli
 
nackia hii shule inacfika kwa wizi wa mitihani. ni information kutoka kwa mwanafunzi anayesoma hapo.
 
Hivi yanga nayo ni ya CCM...?????
 

nackia hii shule inacfika kwa wizi wa mitihani. ni information kutoka kwa mwanafunzi anayesoma hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…