#Be aware of Fraudsters!!!!...TANZANIA INA AGENT MMOJA TU NA YUPO JENGO LA MKAPA HOUSE. OFISI ZIPO WAZI KUANZIA SAA MOJA MPAKA SAA NNE ASUBUHI KULINGANA NA WATEJA.
Imeandikwa: Mmepewa {Neno} Bure, Toeni {Neno} Bure!Hapana si kweli, ni miongoni mwa watu wanaompenda na kumtumika MUNGU japo katika udhaifu wa mwili na roho. My point is, kwanini tuuze kwa pesa nyingi hivyo? Imani yangu mimi haiwezi kujengwa kwa sticker na chupa za maji but kwa maandiko na pia mimi nimfuatiliaje mzuri sana wa Vipindi vyenu but this doesnt mena kwamba sasa nisiwe na msimamo binfasi NO No
Huyo martha kaaya c mlisema mmebadilisha sbb za nyodo zake kwa wateja?
Afu hyo nickname itamislead watu hupaswi ht kuitumia yn duuuh!Ni kwl kbs tna ananyodo hafai kbsaaaaaaaaa tn kbs kbs kuwa coordinator uctuchuuzd hpa jmaniiiii Blandina Nyoni nae anaandikisha tn ds week ndo natak nifanye folo up hyu martha kwa mnaotak kumkufuru Mungu nendeni hana lugha ya customer care ht kdg achilia mbali karama.tn ntaleta hp namna ya kumpat hyo coordinator mwngne na alichaguliw baada ya malalamiko kufika scoan.
Imeandikwa: Mmepewa {Neno} Bure, Toeni {Neno} Bure!
Mathayo 10:8
Elli: Seems upo kushoto na maandiko ya vitabu vya Mungu kaka.
Elli: Mungu ananjia nyingi sana za kuonyesha nguvu zake. Kwahiyo sio kwa kusali au kusoma neno lake unaweza kuziona nguvu hizo. Nitakupa mifano kadhaa:-
1. Mtume Paulo enzi zake alikua akitumia aprons na vitambaa vya mikononi kuponya watu wenye shida mbali mbali. Ni watu wengi walienda kupata bidhaa zake. Lakini tambua...hawakupewa tu bure kwasababu vile vitu vilikua vikinunuliwa kwa gharama.Hapo utaona Mungu anajidhihirisha kupitia vitambaa vya mikono.
2. Mtume Peter, yeye alitumia kivuli chake kuponya watu wenye matatizo. I mean, akiwa kasimama au kukaa ukipita kwenye kivuli chake unakuwa safi kabisa.
3. Yesu pia aliweza kutumia Mate na Udongo kumponya mtu kipofu.
4. Tumeona hata baadhi ya watumishi kwenye Biblia wakitumia mafuta kuwapaka watu.
5. Leo hii, Prophet TB Joshua anatumia sticker na maji kuwaponya watu na kuwatatulia watu wenye shida mbalimbali kupita vyanzo hivyo.
Kumbuka ni gharama kutengeza na kuvisafirisha vitu hivyo.
:embarassed2: Tafadhali tumia lugha yenye hekima
annabrenda; ni swala la uelewa tu dadaangu na imani yako. Kama anatoa bure ni vizuri ukaenda Scoan kupata ya bure.
Elli: Mungu ananjia nyingi sana za kuonyesha nguvu zake. Kwahiyo sio kwa kusali au kusoma neno lake unaweza kuziona nguvu hizo. Nitakupa mifano kadhaa:-
1. Mtume Paulo enzi zake alikua akitumia aprons na vitambaa vya mikononi kuponya watu wenye shida mbali mbali. Ni watu wengi walienda kupata bidhaa zake. Lakini tambua...hawakupewa tu bure kwasababu vile vitu vilikua vikinunuliwa kwa gharama.Hapo utaona Mungu anajidhihirisha kupitia vitambaa vya mikono.
2. Mtume Peter, yeye alitumia kivuli chake kuponya watu wenye matatizo. I mean, akiwa kasimama au kukaa ukipita kwenye kivuli chake unakuwa safi kabisa.
3. Yesu pia aliweza kutumia Mate na Udongo kumponya mtu kipofu.
4. Tumeona hata baadhi ya watumishi kwenye Biblia wakitumia mafuta kuwapaka watu.
5. Leo hii, Prophet TB Joshua anatumia sticker na maji kuwaponya watu na kuwatatulia watu wenye shida mbalimbali kupita vyanzo hivyo.
Kumbuka ni gharama kutengeza na kuvisafirisha vitu hivyo.
#Kwanini usiende SCOAN kwa miguu kutoka hapo ulipo kama kila kitu cha Mungu kwako ni bure?..simple!