Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,883
Naandika toka uvunguni mwa moyo wangu kwa nguvu za muumba,
Imani huja kwa kuona na kusikia na baadae kuamini na huwezi kulitoa ndani tena.
Rais toka kampeni zake na baada ya kuapishwa alikuwa akiaminisha umma kuwa Msema Kweli ndio Mpenzi wa Mungu.
Nilishawai kuhoji humu ni Mungu yupi huyo anaye semwa semwa hivi na kiimani ya Kikatoliki (amri za Mungu) moja ya kanuni inasema Usilitaje bule jina na Mungu wako. Nimesema ivyo kwasababu ni mkatoliki.
Hivi haya anayoyafanya ni ya Mungu au ya nani??????
Na kwanini siku hizi simsikii akisema aombewe? Kunanini?
Je scientific prove kwa watanzia tunasema msema kweli ni mpenzi wa nani?