Afisa_Nkai JF-Expert Member Joined Jul 5, 2025 Posts 489 Reaction score 1,020 Aug 4, 2026 #161 Nafatilia uzi kwa ukaribu
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,820 Reaction score 7,816 Aug 4, 2026 #162 Poker said: Ndio space ilikuwepo na ndio maana big bang ilitokea. Big bang ilitokea baada ya particle ndogo zaidi kulipuka na kusambaa ikitoa gesi tofauti tofauti. Click to expand... Kwa hiyo mpaka sasa tupo kwenye ile particle iliyolipuka ikatekengeneza space? au tupo kwenye particle ambayo haina space rejea maana ya spacei
Poker said: Ndio space ilikuwepo na ndio maana big bang ilitokea. Big bang ilitokea baada ya particle ndogo zaidi kulipuka na kusambaa ikitoa gesi tofauti tofauti. Click to expand... Kwa hiyo mpaka sasa tupo kwenye ile particle iliyolipuka ikatekengeneza space? au tupo kwenye particle ambayo haina space rejea maana ya spacei
Poker JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 7,180 Reaction score 21,219 Aug 4, 2026 #163 BLACKTIGER said: Kwa hiyo mpaka sasa tupo kwenye ile particle iliyolipuka ikatekengeneza space? au tupo kwenye particle ambayo haina space rejea maana ya spacei Click to expand... Space ni ule utupu uliopo, uliokuwepo na utakaokuepo. Hivo particle ilikuwepo ndani ya space yenyewe.
BLACKTIGER said: Kwa hiyo mpaka sasa tupo kwenye ile particle iliyolipuka ikatekengeneza space? au tupo kwenye particle ambayo haina space rejea maana ya spacei Click to expand... Space ni ule utupu uliopo, uliokuwepo na utakaokuepo. Hivo particle ilikuwepo ndani ya space yenyewe.