Alianza Myahudi na kitabu chake "Torah"
Myahudi akamzaa mkristo na "biblia" yake
Myahudi akamzaa muislamu na "quran".
Hakuna biblia ya kiarabu, labda kama imetafsiriwa kiarabu.
Biblia ya wakristo ni mkusanyiko wa vijitabu na kurasa za machapisho ya maandiko kutoka kwa watu mbalimbali