Science is the Savior of Humanity

Science is the Savior of Humanity

Tricknology.
Fundraiser wa Matatizo akitatua moja na kuleta Miamoja.
 
😀😀😀.unazijua biblia ya kiarabu?
Yahweh ameitwa Kwa jina gani?
Alianza Myahudi na kitabu chake "Torah"
Myahudi akamzaa mkristo na "biblia" yake
Myahudi akamzaa muislamu na "quran".

Hakuna biblia ya kiarabu, labda kama imetafsiriwa kiarabu.

Biblia ya wakristo ni mkusanyiko wa vijitabu na kurasa za machapisho ya maandiko kutoka kwa watu mbalimbali
 
Hyo h

Hyo hyo iliyotafsiriwa kiarabu.yahweh ameitwa Kwa jina gani
 
Back
Top Bottom