Schorlaship za nchi za kiarabu 2018

Abubakar Abdallah

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
281
170
. .. Asalam aleikum, naomba tujuzane hapa kuhusu taasis zitoazo scholarship za uarabuni,na hata kwa kushare magroup ya watsap pia
 
Uarabuni!!!!, bado hamjakoma wala kujifunza yaliyowapa wenzetu huko Libya! Haya buana nenda ila usijelialia yatakapokukumba huko.
 
wana chuki hao na mara nyingi hawana maendeleo wao wanaona mwarabu ni adui. mbona india mwanafunzi imran alichinjwa mbona bado mnaenda kusoma
 
Uarabuni pazuri sana. Nlishaenda abudhabi, na dubai nlitamani kuzamia, ila ndo hivyo hao jamaa hutoa kafara za watu wageni
 
Back
Top Bottom