school

school

Escoba

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
75
Reaction score
18
wadau hv ni shule gani nzuri ambayo wanafundisha form five pia wana programme za ku-resit form four. nataka nimpeleke dogo amepata 4 ya 27 na ana credit moja tu ( C)
 
wadau hv ni shule gani nzuri ambayo wanafundisha form five pia wana programme za ku-resit form four. nataka nimpeleke dogo amepata 4 ya 27 na ana credit moja tu ( C)

Kama una fedha ya kuchagua Shule, kwanini usimpeleke Chuo akaanze Certificate? kwa maana ku resit na baadaye kupata principle angalau mbili ni probability kuliko kupitia certificate ambapo huwa tunahesamu muda tu m2 apate degree.
 
Ushauri mzuri kabisa..
 
Ajiunge na shule zinazotumia syllabus ya CAMBRIDGE Kama ana re~seat,au kunyoosha cheti.Mambo yamekaa sawa kuliko NECTA.Ajaribu Mt.Kilimanjaro School iliyopo MOSHI.
 
Kama una fedha ya kuchagua Shule, kwanini usimpeleke Chuo akaanze Certificate? kwa maana ku resit na baadaye kupata principle angalau mbili ni probability kuliko kupitia certificate ambapo huwa tunahesamu muda tu m2 apate degree.[/QUOTE chuo staki kumpeleka coz bado mdogo hajakomaa akili ni mtoto wa kike , huko chuo anaweza kutana na watu wazima wakamlaghai
 
chuo ctak kumpeleka mana bado mdogo ni mtoto wa kike hajakomaa akili , ujue chuo watu wazima wengi so mambo pia mengi
 
usiseme ni mtoto mfundishe kujitambua na kujiheshim then chuo ndo mpango mzma, kama ni wa kuharibikiwa ataharibikiwa popote
 
mdogo wangu nilimpeleka chuo akiwa around 21,na mungu alimsaidia. Imani mbele ndugu.
 
ajiunge na shule zinazotumia syllabus ya cambridge kama ana re~seat,au kunyoosha cheti.mambo yamekaa sawa kuliko necta.ajaribu mt.kilimanjaro school iliyopo moshi.
humtakii mema, kama huku kwenye mteremko amepiga four huko cambridge si ndiyo itakuwa balaaa-atazungusha saba mara sabini
 
wadau hv ni shule gani nzuri ambayo wanafundisha form five pia wana programme za ku-resit form four. nataka nimpeleke dogo amepata 4 ya 27 na ana credit moja tu ( C)
quote_icon.png
By structuralist
Mkuu nashukuru sana kwa ufafanuzi wako. Hata hivyo kwa kuwa umetoa nafasi ya kujazia sehemu ambayo labda inamabadiliko yafuatie,nafikiri nijikite kwenye mambo mawili
1:Mkuu kwa ufahamu wangu,hairuhusiwi tena mtu kuendelea na 4m 5 na wakati huohuo akiwa anarisit. Hii ni kwasababu ili ufanye mtihani wa kidato cha sita lazima uwe umekaa darasani miaka miwili toka umalize kidato cha nne,hivyo basi ukijiunga na 4m 5 huku unarisit hiyo miaka miwili haitatimia.
2:Hairuhusiwi tena kuunga unga vyeti,mfano mtu alikuwa na c mbili then arisit ili apate moja aunganishe na zile mbili za mwanzo,swala hilo haliwezekani tena. Hii ni kwa sababu ili mtahiniwa aruhusiwe kufanya mtihani kidato cha sita lazima awe amepata angalau crediti 3 O-level kutoka kwenye kikao kimoja ( ie 3 credits in o-level at the same sitting). Hii inamaanisha mtu akiamua kurisit anayakana matokeo yake na anatafuta mengine,na kwa mfano kama mtu alikuwa na c mbili na zilizobaki ni D halafu akarist assume akapata tena C mbili na D nne labda na F moja,hawezi kuanga hayo matokea akadai eti ana C nne kwasababu zimepatikana kwenye vikao tofauti(miaka tofauti). Hata hivyo lazima nikiri kwamba taratibu za kuunga vyeti zilikuwa zinatumika hapo nyuma lakini kwa ufahamu wangu ni kwamba kwa sasa zimefutwa. Kwahiyo kama mtu ana C mbli hawezi kwenda form 5, na akiamua kurisit ajue ni kama anaanza kazi upia. So kama kuna mtu hali hii inamgusa aangalie hayo mambo.
mkuu waweza pitia hii thread https://www.jamiiforums.com/jukwaa-.../221758-form-4-na-wengine-angalieni-hapa.html
 
Sio kweli mbona wa weza ku re seat hata masomo manne mpeleke dogo kama anauwezo mana mwaka huu mambo mabaya sana alikua jembe
 
Back
Top Bottom