F fredy nyiti Member Joined Dec 28, 2015 Posts 31 Reaction score 55 Feb 22, 2019 #21 kuna muda huwa machozi yananitoka nikiona aina ya maisha baadhi ya watu wanayoishi, kwani huwa tunakuwaga tumemkosea nini MUNGU???!! Huu sio mpango wa MUNGU sisi kuteseka kuna sehemu huwa TUNAKOSEA. MUNGU NAOMBA UTUREHEMU
kuna muda huwa machozi yananitoka nikiona aina ya maisha baadhi ya watu wanayoishi, kwani huwa tunakuwaga tumemkosea nini MUNGU???!! Huu sio mpango wa MUNGU sisi kuteseka kuna sehemu huwa TUNAKOSEA. MUNGU NAOMBA UTUREHEMU
wakusoza JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 628 Reaction score 649 Feb 22, 2019 #22 wanafunzi wengne wako wap Sent using Jamii Forums mobile app