SCHOOL MANAGEMENT SYSTEM

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
372
119
Habari gani Wana JF

SCHOOL MANAGEMENT SYSTEM inahitajika. Kwa wale ambao watakuwa hawajanielewa, ni mfumo unaorahisisha mambo mengi katika shule kama vile udahili, kuajiri, rekodi ya vitumbalimbali ikiwemo miundombinu, vifaa n.k, taarifa za malipo ya ada, mishahara, taarifa za kitaaluma, report na mambo mengine kwenye shule Kama hayo.

Mwenye nayo au anayefahamu Kampuni inayojihusisha na mfumo huu tuwasiliane tafadhali.

Bajeti yetu ni 300,000/= Online na 500,000/= Offline. Bei hii ni kwasababu shule yetu Bado ni mpya na tuna madarasa mawili tu.

Contact: 0657605875.
 
Utahitatji na user training pamoja na support ama system tu upambane nayo?
 
Unahitaji cuustiom built system au of the shelf SOlution?Kuna Mtu wangu mmoja naona hajaona huu uzi angeshakutafuta
Du.. hii cuustiom built hapo Sasa nipo Chaka. Anyway ni Bora anitafute ili anipe maelekezo zaidi Halafu iwe rahisi kufanya decision
 
Back
Top Bottom