Huo mfumo kama ni free uweke hapo watu wapakue au utoe link sio namba.Elimusoft inakuletea OFA ya kufungia mwaka
Tunatoa huduma ya SCHOOL & COLLEGE MANAGEMENT SYSTEM free kwa mwaka 2022 shule na vyuo katika ngazi zote
Mfumo una features zaidi ya 40, baadhi yake ni kama
- Kutoa GPA ya motokeo ya mtihani ya kila mwanafunzi
- Kutoa DIVISION ya matokeo ya mihani ya kila mwanafunzi kwa A LEVEL na O LEVEL
- Kutoa wastani na GRADE ya wastani aliopata mwanafunzi
- Mzazi anaweza kuangalia matokeo ya mtoto wake au watoto wake kupitia account ya MZAZI.
- Ina support watumiajia wa aina nane MWANAFUNZI, MZAZI, MHASIBU, LIBRARIAN, MWALIMU, ADMIN, SUPER ADMIN na RECEPTIONIST .
- Huonyesha status ya marks alizopata mwanafunzi katika kila somo kwamba amefeli au amefauli kulingana na minimum marks iliyo wekwa
- MWALIMU au ADIMIN ana weka marks, mfumo hufanya yote yaliyo bakia kama vile kutafuta GRADE, AVERAGE, GPA, DIVISION nk
- Mfumo una FEES MANAGEMENTSYSTEM
- Academic report management system
- Financial management system
- Library management system
- Hostel Management System
- Transport management system
- Event Calendar
- Online Chatting in the system
- Communication Channel
- AND SO MANY .......................
bAADA YA MWAKA MMOJA tunakaa mezani kwa ajii ya kupeana mkataba bei ni rafiki kabisa huku ukiwa tayari unajua ndani ya mfumo kuna nini. TUNA UHAKIKA UTAPENDWA TUHuo mfumo kama ni free uweke hapo watu wapakue au utoe link sio namba.
Unless useme unauzwa utaje na bei.
toa neno 'for free' kwenye heading, weka 'at a price'bei ni rafiki