Venosamushi
Member
- Aug 23, 2020
- 28
- 11
Karibu ujipatie school bags za kisasa mapemaa kabla msimu wa shule haujafika! Ni water proof bags hata mvua ikinyesha maji hayaingii ndani kulowesha daftari. Quality yake ni nzuri Sana. Utapata kwa elf 28,000 tu zinapatikana kwa jumla na rejareja. Size kuanzia chekechea hadi std7. Nicheck 0719884746