SCHOLORSHIPS UDOM YA MASTERS NA Phd utapeli mkubwaa

SCHOLORSHIPS UDOM YA MASTERS NA Phd utapeli mkubwaa

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
takribani mwezi umeisha hakuna lolote linaloendelea udom kwa wale tuliomba scholorships ya masters na phd on improving basic literacy! kwa yoyote aliye na taarifa kuhusu hatima ya 50000/= zetu tulizofanyia application kuwa ndo zimeliwa au??ili nijue nafanyaje mabadiliko
 
sasa si uonbe usaidiwe kuliko kuchafua chuo na hiyo heading yako,kumbe hata ujui nini knaendelea alaf unakuja kuchafua chuo hapa
 
Kuwa na subra Mtanzania, hukuelewa tangazo vizuri " Application fee (50,000) is not refundable"
Only for successful applicant.
 
Dah achana na Phd mkuu una dalili zote za kuwa mmoja wa wenye Phd tutakaowadharau baki na elimu uliyonayo tuendelee kukuheshimu
 
takribani mwezi umeisha hakuna lolote linaloendelea udom kwa wale 888 scholorships ya masters na phd on improving basic literacy! kwa yoyote aliye na taarifa kuhusu hatima y9a 50000/= zetu tulizofanyia application kuwa ndo zimeliwa au??ili nijue nafanyaje mabadiliko

si umeshaCONCLUDE NI UTAPELI MTUPU sasa unataka taarifa za ziada za nini.... sample ya akili za baadhi wasomi wetu hizi....
PATIENCE NI MSAMIATI MGUMU......
 
Back
Top Bottom