Scholarships za commonwealth

Scholarships za commonwealth

Vee94

Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
22
Reaction score
18
Habari wana jf,ningependa kujua kama wizara ya elimu ikinominate majina kwenda commonwealth kwajili ya scholarship huwa inataarifu successful applicants pekee au hata waliokosa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama haupo kwa waliopata maana yake umekosa. Sasa utangazwe umekosa ili iweje?
 
Back
Top Bottom