Scholarships within Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Scholarships within Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kaka Sam, Apr 14, 2011.

 1. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wana MMU habari za wakati huu..

  Wakuu nina rafiki yangu ambaye amepata anatarajia kusoma Masters ya Socio science kwenye chuo kimoja hapa Tanzania kuanzia mwezi wa 9/10 mwaka huu, sasa anatafuta scholarship na anaomba kama kuna ambaye anajua/anafahamu scholarship yoyote ambayo inafund Ms within Tanzania atusaidie kutuwekea hapa au ushauri afanyeje ni muhimu pia.

  Natanguliza shukrani.:hug:
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hiyo ataipata akishakua chuon huwa zinatoka,wanaopewa ni wale wanaojisomesha wenyewe,ila strong g.p.a inamata,isiwe kama ya jk
   
 3. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahah haaa kwani JK anayangapi..? nyway back to topic, nashukuru ntamtia moyo.. kama kuna mtu alishapata huko chuo huwa zinatoka wap? kwenye chuo chenyewe au wakina nani hasa???
   
 4. S

  Senior Bachelor Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu D5,
  Umesemaa amepata admission social sciences halafu baadae ukasema Msc. Naona kama kunaweza kuwa kuna confusion hapo. Social sciences hupelekea kupata MA (unless kuna kitu sijui ktk hili). Anyway, sio ishu sana.
  Wapo wafadhili wengi sana anaoweza kuwapata hasa kama ameshapata admission tayari. Tatizo ni kuwa hujasema amepata admission ya kusoma nini. Social sciences bado ni too general. Ninachojua mimi wanaotoa scholarship wengi wanapenda usome ktk local universities-inakuwa rahisi sana (zaidi) kupata kuliko ya kwenda nje. Sasa basi balozi hizi hutoa scholarship sana kwa watu wanaojua kuzifuatilia.
  (1) Ujerumani (Chini ya mwavuli wa wizara yao ya mambo ya nje kwa kupitia Deutsher Akademischer Austausch Dienst, DAAD)
  (2) Ubalozi wa Ireland
  (3) Ubalozi wa China
  (4) Balozi za nchi za Scandinavia-Norway, Sweden, Denmark na Finland
  (n.k)
  NB. Mara nyingi scholarship zao zinalenga maeneo ambayo yatakuwa na manufaa directly kwa jamii. Mostly mazingira, education, sciences kwa ujumla. Sheria NO etc.
  Ajaribu kucheki hizo. Afuatilie asisubiri kuunganishiwa. Anaweza kugoogle akaona kama balozi zao wana scholarsship kwa Tz this yr.

  Asante. namtakia kila la kheri.
   
 5. S

  Senior Bachelor Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tz hakuna chuo kinachotoa au kuungannishia watu scholarships. Unless wamepewa tangazo wabandike ili watu walio na interest waaplyy huko kwa hao wanaotoa. Scholarship zinazotolewa na vyuo mara nyingi huhusisha mipango maalumu ya hao wafadhili kusomeesha wafanyakazi wa chuo husika. So, hizo hutolewa kwa academic staff wa chuo husika tu. Bahati mbaya hapa Tz hatuna mashirika/makampuni ya ndani yanayosponsor watu. Barick wanafanya hivyo kwa watu wachache wa geology lkn ni undergrads.
  So asitarajie kupata chuoni-tena social sciences!!!
   
 6. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu asante sana for this useful post,
  nilikosea kuandika kwa kifupi alipata mwaka jana aka postpond so anatarajia mwaka huu aanze soma Masters ya development studies. Ngoja nijaribu kuchek na web za baloz nchini..

  B r
  D5
   
 7. Mshua's

  Mshua's JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2014
  Joined: May 22, 2013
  Messages: 649
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 80
  Kaka Sam, tujulishe kama ulipata hiyo scholarship ya hapa nchini!

  Mods naomba huu uzi upelekwe jukwaa la elimu kwa ulipostiwa huku siku nyingi nafikiri kipindi JF haijaboreshwa kama ilivyo sasa
   
Loading...