Njaa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2009
- 1,013
- 391
Hello wakuu
Nimepata scholarship fulani ambayo ipo kwenye project fulani kule south Africa (University of Johannesburg), sasa mshiko wenyewe ni Rand 5500 kila mwezi kwa ajili ya malazi, chakula, matibabu na mambo ya kibinafsi. Kwa wale wanaojua mambo ya South naomba ushauri, je huu mshiko unatosha kuishi na kufanya masters south? Maana mshahara wangu utakata hapa Bongo na familia yangu itaendelea kunitegemea.
Please nishauri vyema nisije nikaingia kwenye choo cha kike, (1Rand = 200 Tsh)
Nawakilisha.