Scholarship of Mozambique

Scholarship of Mozambique

Harnandez

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
408
Reaction score
344
Hello everyone I have seen in TCU guidebook 2015/2016 abt these scholarship I wanted to apply MD but before have to ask if after finishing you can get work in Tanzania and overall if they have good university which offers those studies under those scholarships?!
 
Mie npo Mozambique nafanya MD karibu ila miaka ni mingi jipange

miaka mingapi?! na vipi ulipata university nzuri?! na uliweza kumanage Portuguese au unafundishwa in English?! na vipi ajira ukirudi bongo?!
 
Ni miaka Sita + mwaka wa lugha + internship ni miaka 8 lugha ya kufundishia portugues
 
Kaa bongo upige buku kjana..miaka8 mingi sana.. huku ni6 tu unaingia kazini, sidhani kama hivyo vyuo vya mozambique vina ubora mkubwa saaana, ni vya kawaida tu
 
Duh jmnii me nimepelekwa juu kwa juu huko Mozambique n nachkua tourism VP..ni chuo Gan kinaitwaa n maelezo plz tuwasiliane waatsap +255718579775
 
Duh jmnii me nimepelekwa juu kwa juu huko Mozambique n nachkua tourism VP..ni chuo Gan kinaitwaa n maelezo plz tuwasiliane waatsap +255718579775

Bora hata wew wa tourism mana utaambulia kireno ila huyu wa udaktari ni bora abaki bongo
 
Sasa si ungeandika post kwa kiswahili tatzo Umarekani mwingi.
 
Hello everyone I have seen in TCU guidebook 2015/2016 abt these scholarship I wanted to apply MD but before have to ask if after finishing you can get work in Tanzania and overall if they have good university which offers those studies under those scholarships?!

mkuu nenda huko NMU, kapige buku kisawasawa ukitoka kibangubangu sana tu, usisahau kuvuka boda ukabrashi ngeli kwa mzulu.
 
nimesoma uko na nimemaliza maisha ni magumu balaaah kule acha tu
 
My young bro kachaguliwa tourism mozambique sijui hata utaratibu umekaaje na n chuo gan na process sijui zinaanzaje
 
My young bro kachaguliwa tourism mozambique sijui hata utaratibu umekaaje na n chuo gan na process sijui zinaanzaje

atatumiwa email tu yenye maelekezo yote provided ana active email address, ataelekezwa kwenda wizaran lin na kutafuta passport, chuo kinaitwa eduardo mondlane ni chuo kikubwa tu unaweza google
 
Back
Top Bottom