Scholarship nje ya nchi

Scholarship nje ya nchi

Lyn Vivac

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
858
Reaction score
1,024
Hello,
Hope mnaendelea vyema, naomba kujua namna ya kutafuta au nitapataje scholarship nje ya nchi hii ya tz hasahasa nje ya Africa au hata ikiwa Africa yenyewe.

Plz, mwenye ujuzi naomba anisaidie. Nimehitimu bachelor ya education this year.
 
Unapenda mteremko, piga UDSM
 
Nenda kahangaike huko ukirudi ukute wenzako wameshakuwa vizuri kiuchumi kuliko wewe uanze kuilaumu CCM na kujifanya mwanaharakati.
 
Mimi natafuta mfadhili anifadhili kwa vyuo vya hapa Bongo. Nimekwama kulipia ada ya mwaka wa mwisho. Ninataka kuahirisha mwaka.
 
Back
Top Bottom