Scholarship kwa Watanzania 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Scholarship kwa Watanzania 2012

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kivumah, Dec 15, 2011.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wakati wa kuadhimisha Miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara Ubalozi wetu hapa nchini Uingereza wakishirikiana na Chuo kikuu cha mji Coventry wanapenda kuwatangazia wadau wote wa elimu kuwepo kwa Scholarship sita maalum za masomo kwa watanzania ambazo zimetolewa kutoka katika Chuo kikuu cha Coventry katika nyanja zifuatazo:


  1. MSc Oil & Gas Management
  Coventry Campus
  Kuanzia Septemba 2012

  2. MBA Oil & Gas Management
  London Campus
  Kuanzia April, July, Septemba 2012

  3. MSc Finance & Investment
  IAA Dar Campus
  Kuanzia Septemba 2012

  4. MBA Logistics
  IAA Dar Campus
  Kuanzia Septemba

  5. MSc Finance & Investment
  IAA Arusha Campus
  Kuanzia Septemba 2012

  6. MBA Logistics
  IAA Arusha Campus
  Kuanzia Septemba 2012


  Jinsi ya kujiandikisha, tembelea tovuti ifuatayo hapo chini:
  http://www.coventry.ac.uk/tanzania2012scholarship
  source:hakingowi blog
   
 2. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  aksante mkuu
   
 3. i

  ibontoko Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  good job!
   
 4. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Pamoja. Changamkia dili hilo kama una Qualify
   
Loading...