Mwambie aende British Council kwanza apige pepa ya English na afaulu then anitafuteKama kuna mdau anajua utaratibu wa kuapply sholarship kwenda nchi kama ukraine , china , Malaysia au nchi nyingine ambazo ni mshirika mzuri kusaidia elimu ya bongo naomba utupie.
Kuna dogo anahitaji utaratibu sema yupo form six saiv pale tosamaganga anapiga PCB na ndoto yake ni kwenda kupiga MEDICINE.
Sasa anahitaji utaratibu wa kuapply na link zenye offer kwa mwakani na application form kabisa halafu bahati mbaya hili limenipita kushoto..kama kuna mdau anaweza okoa jahazi afanye hivyo nene.
Oui hizi pepar zinakuwaga bei gani boss au free tuMwambie aende British Council kwanza apige pepa ya English na afaulu then anitafute
Oui hizi pepar zinakuwaga bei gani boss au free tu
Kwanini usiweke link boss watu wa join haya mambo ya kutuma namba PM yanatishia usalama wa umu ndaniKuna group la China scholarships tuma namba pm wamu add.
Hizo pepa si mchezo mchezo...Mwambie aende British Council kwanza apige pepa ya English na afaulu then anitafute
Hamna kawaida sana sema hakuna utamaduni wa kusoma.Hizo pepa si mchezo mchezo...
China Scholarships | Apply 2018 - 2019 China Scholarship Positions, The Belt and Road Initiative Scholarship and The Silk Road scholarshipKwanini usiweke link boss watu wa join haya mambo ya kutuma namba PM yanatishia usalama wa umu ndani
Naskukuru sana mkali....lakin nimfatilia hii inataka mtu awe tayari na matokeo.......ivi hatuwez pata ambayo inaruhusu application mpaka angalau yatoke matokeo ..maana necta dogo anapiga mwaka huuSerikali ya Japan inasaidia watoto yatima au walipoteza mzazi mmoja kuweza kusoma mazomo ya cho kikuu japani. Kama unamjua yeyote na mwenye vigezo mpatie link hii afanye application, mwisho wa application ni Feb 24, 2018. Apply for the Ashinaga Africa Initiative — Ashinaga