Scariest horror movies

Scariest horror movies

Itafute "Psycho" ya Alfred Hitchcock.
Angalia kidogo sehemu hii ya "Shower Scene".

Last edited by a moderator:
namshukuru MUNGU nilifika salama... kuhusu mtei ninajipanga kumuombea tuu... babeli kunaendeka leo?

Hahahahaaaa hapana...
Dah leo hm mwanzo mwisho lol ila sijajua siunajua mabadiliko huwa yapo...
Vipi wewe Vilale au
 
Hahahahaaaa hapana...
Dah leo hm mwanzo mwisho lol ila sijajua siunajua mabadiliko huwa yapo...
Vipi wewe Vilale au

ah ah haha ha ah ah ah ..... dah... umenipatia kweli!!! na mie leo nipo home tu.... kuna mgeni namsubiri hapa.... hawajambo wadau?
 
queenkami ni nini kupenda movie za kutisha unaangalia muda wa kulalaunakuwa unihis kama kuna watu room.

Dawn of the Dead
The Mothman Prophecies....
A Tale of Two Sisters
The Crazies
 
Hellraiser 1-3,
Omen 666
Wolfman
I know what u did last summer 1-3
Scream
Urban legends
Identity
Hio Omen 666 nliangalia part zote 3 kwa usiku m1, enzi hizo nna time. Hata mi napenda scary movies
 
ah ah haha ha ah ah ah ..... dah... umenipatia kweli!!! na mie leo nipo home tu.... kuna mgeni namsubiri hapa.... hawajambo wadau?
Teh we hilo suala la hm si la kushangaa....
Huku wote wazima kabisaaaaaaaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom