Scania la mizigo

Scania la mizigo

Spinster

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
487
Reaction score
138
tunatoa huduma ya kusafirisha mizigo,ndan ya nchi na nchi jaran kama kenya, uganda, malawi, etc.....kwa anaehitaji ani pm..
 
tunatoa huduma ya kusafirisha mizigo,ndan ya nchi na nchi jaran kama kenya, uganda, malawi, etc.....kwa anaehitaji ani pm..

Ingekuwa vizuri kama ungetufafanulia kwa nini tuje kupata huduma kwako,je una insurance inayokava na mzigo pia
 
Ingekuwa vizuri kama ungetufafanulia kwa nini tuje kupata huduma kwako,je una insurance inayokava na mzigo pia

insurence ipo mpo mkuu,co tu kutokana na uzoefu wa kazi hii ya kusafirisha mizigo zaid ya miaka25, bali ikiwa mzigo wako umepotea kwa njia yyt mteja atalipwa mzigo wake. nadhan nimekujibu mkuu
 
Back
Top Bottom