nauza hiyo Scania kwenye picha, truck bado hipo nje nitaileta tu kama atapatikana mteja wa kuinunua, term ya malipo unalipa advance. Bei ni mpaka bandarini Dar tu, suala la ushuru ni juu yako mwenyewe.
Make: Scania
Model: 94/310
Year: 2001
KM: 587791
Price: TZS Mil. 22
View attachment 472297 View attachment 472298 View attachment 472299 View attachment 472300 View attachment 472301 View attachment 472302