Scania 113/380 Streamline Truck 6x2 (1996)

Mfikilwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2008
Posts
412
Reaction score
123
Cif dar tzs mil. 32

1.jpg 2.jpg 3.jpg 4.jpg 5.jpg 6.jpg
 
Ukiweka na gharama za kodi inaweza gharimu sh. Ngap? Contacts za Muuzaji?
 
kiukweli kodi za bongo haziko fixed, unaweza lipa kuanzia mil 4 mpaka 10 inategemea na agent utakayempata akutolee

Stima hiyo inanikumbusha mbali,ingekuwa siyo LHD,ndugu ningekutafuta,hiyo chassis ingepigwa panga funga terios ngoma inakula nundu lubumbashi.
 
mkuu mbona hiyo haina shida, truck yenyewe si itakuwa inaenda lubumbashi ambako ndiko haswa LHD, vilevile mbona 113 zinabadilishika kutoka LHD kwenda RHD na gharama zake hata mil 2 uimalizi

Stima hiyo inanikumbusha mbali,ingekuwa siyo LHD,ndugu ningekutafuta,hiyo chassis ingepigwa panga funga terios ngoma inakula nundu lubumbashi.
 
Vipi pulling zinapatikana ?naona kama vichwa vya semi tu.
 
pulling si hiyo mkuu unajenga box tu, ama unataka pulling hipi? kuhusu Scania 113 na Scania 93 wewe sema mahitaji yako mimi nitakutafutia mkuu.
Vipi pulling zinapatikana ?naona kama vichwa vya semi tu.
 
hapa hapanihusu maana hata ajira sina,ngoja kwanza nisake ajira ndo nirudi
:target::target::target::target::target:
 
hayo yote nayajua,ila ni rahisi kufunga terios kuliko kubadilisha upande.niambie bei yako ya mwiiiiiiiisho kabisa tufunge deal,wanasema gun point price!,halafu pia consider na huo mwaka wake na kodi zake,inaweza ikafika hata 15m kwenye kodi ,kutegemea na yale mapunda ya tra yameamkaje!
 
mkuu bei ya mwisho ni TZS Mil 31 ndefu mkuu usafiri huko juu
hayo yote nayajua,ila ni rahisi kufunga terios kuliko kubadilisha upande.niambie bei yako ya mwiiiiiiiisho kabisa tufunge deal,wanasema gun point price!,halafu pia consider na huo mwaka wake na kodi zake,inaweza ikafika hata 15m kwenye kodi ,kutegemea na yale mapunda ya tra yameamkaje!
 
kiukweli kodi za bongo haziko fixed, unaweza lipa kuanzia mil 4 mpaka 10 inategemea na agent utakayempata akutolee

Mkuu kodi ya hili ni zaidi ya 10M hakuna mambo ya kukwepa tena ..ingia website ya TRA utakuta form za kodi za magari karibu yote. Agents wasikudanganye
 
mkuu inategemea , mie nimetoa 113 wiki iliyopita nimelipa mil 6.9 na kama mwezi nilitoa 93 nikalipa mil 9.7, so inategemea

Back
Top Bottom