Scam alert

Scam alert

Za mda huu wadau wajf

Ningependa kuwataarifu wale wasiojua kuhusu utapeli wa pyramid scheme huu mchezo unakuwa siku mpaka siku mpaka sasa wabongo ndo wanaanzisha wakishirikiana na wanigeria, wakenya hata wasouth africa hali ni ngumu

Point ni kwamba juzi kati wamekuja na fastincominvestment be alert on this ponzi scheme ,don't even try to get involved in a get rich-quick scheme

Na washiriki wakubwa ni wabongo maana kuna huduma ya kutoa na kuweka pesa kwa tigopesa na bitcoin baada kutapeli watu kwa BC INVESTMENT wamekuja upya

NB; mi ni muhanga wa inclusive forex & cryptos nina hasira nao baadhi ya wale upline washaanza kupromote kingine

View attachment 1674365
Mkuu sijakupata vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom