Hahahahahah Kate bwana sasa hapo mtu anaomba msamakha au ndo anajitafutia kosa juu ya kosa?!
Kama nimekuudhi, basi yaishe!! (Hapa kama namwona Dena Amsi anavyochekelea! Binti mshipa wa samahani umekatika kabisa hahahahahha