SAYANSIKIMU na jukwaa la wadogo

SAYANSIKIMU na jukwaa la wadogo

janeth1 nisaidie basi kufikisha ujumbe.Maana rafiki yako amekuja na mimi nguvu za kuongea zimeisha.

hahahaaa kweli unanipa raha nacheka pekeangu. Ukiwa unatetemeka utapewa za uso unazoziogopa jikaze kwanza ndo uende.
 
hahahaaa kweli unanipa raha nacheka pekeangu. Ukiwa unatetemeka utapewa za uso unazoziogopa jikaze kwanza ndo uende.

Sijawahi kukutana na mtu MPOLE KAMA WEWE humu jamvini.Kila Nikikuona Najikuta Natoa Machozi .NAKUTAKIA USIKU MWEMA SANA janeth1 janeth1
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kukutana na mtu MPOLE KAMA WEWE humu jamvini.Kila Nikikuona Najikuta Natoa Machozi .NAKUTAKIA USIKU MWEMA SANA janeth1 janeth1

yaani ukifika jukwaani we ni kunichekesha tu na maneno yako, niambie basi unalia nini? Ok gud night too.
 
Last edited by a moderator:
yaani ukifika jukwaani we ni kunichekesha tu na maneno yako, niambie basi unalia nini? Ok gud night too.

Sasa Kwa nini hutaki kunisaidia kufikisha ujumbe amesharudi nimekuomba unisaidie kufikisha ujumbe hutaki .NISAIDIE BASI au una taka apite tu kwa mara ya pili.
 
Valentina ndugu yako yule anaekuogopa anakuita ukuje haraka.
 
Last edited by a moderator:
haya ngoja nimwite.

janeth1 hapa nilipo nina masikitiko kweli nina habari mbaya juu yako LEO USIKU NIMEOTA KAMA MARA TATU MFULULIZO NIMEOTA YA KWAMBA ID YAKO YA janeth1 imepigwa life banned .NAKWAMBIA NIMEOTA UMEPIGWA LIFE Banned Baada Ya Kuamka Nimekuja Mbio Mbio Kuangalia Kama Umeshapigwa Kumbe Bado.NAOMBA KUWA MAKINI SANA SIKU YA LEO ikiwezekana funga kabisa ili hii ndoto isitimie .Ukipuuzia huenda leo ikiwa ni mara ya mwisho kukuona humu jamvini.YAANI HAPA NASIKITIKA SANA NITAMPATA WAPI RAFIKI MPOLE KAMA WEWE KAMA UKIPIWA Life Banned .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom