SAY YES to LOWASSA,Wote wapenda mabadiliko tujoin hapa

Auze nini wakati nchi iliuzwa siku nyingi na CCM? Kuthibitisha nenda kwenye migodi yetu yote utaona ukitoka hapo nenda loliondo ukitoka hapo nenda kwenye viwanda vyote vya Uma Anza na National milling hapo tazara wala usiende mbali. Mafisadi wa CCM wanatakiwa hata ikibidi wachinjwe. Leo mgonjwa kalala pale MOI kitanda tu 40000? Wakati hotel kwa hela hiyo unapata na breakfast na chumba ni chako mwenyewe? This is too much jamani watanzania fungukeni macho tumwondoe huyu mkoloni mweusi ndani ya nchi hii
 
Tunaelewa hapa kila nyumbu mmoja amepewa ID 50 za JF...na kila ID moja lazima i post si chini ya replies za EL 5...Modz anzeni kuunganisha nyuzi pls
 
Cjui mnamzungumzia lowasa yup, kama ni wa ukawa, afanye plan c maana b imefell,

Tz hatujawahi na hatutawahikuwa na presidor fisadi, mwizi, mtu wa tamaa ya madaraka, mtoa rushwa,

Ukitaka kujua angalia marafiki zake, halafu hawa cdm wamekuwa kama wamewekewa limpwataaa la tanga hawaon kabisaaaaa, mkijakuona mkafunguliwa macho mtajua...

Subrn novemba msiseme sikusema, muwe na kumbukumbu edo c mpinzani ni msaka tonge, ili nchi aiuze kwa marafiki zake..

TAFAKARI CHUKUA HATUA

Aliyeuza nyumba za serikali,kununua kivuko dar bagamoyo kibovu, kukejeli wana kigambon, kutia serikali hasara kupitia samaki wa magufuli...HUYO SIO FISADI?
 
Ukiwa ccm hapa mtaani wanakuzomea dah xaxa hii nayo dah lowasa ni shida hapa mtaani
 
kwa heshima na taadhima,napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba wote wapenda mabadiliko na kuona nchi hii ikisonga mbele kwa kuleta mabadiliko kupitia LOWASA NA UKAWA tujumuike hapa na kupanga na kuhamasisha wananchi kwa kila tuwezavyo ili tarehe 25 october nchi yetu iandike HISTORIA.
mimi nimeshaanza na mkakati wa kuhamasisha watu mbalimbali mfano kwenye daladala,mabucha,magengeni.wapita njia,sokoni......IM CRAYZ FOR LOWASA...USHINDI NI LAZIMA.....WHAT about you...tupe mbinu ya uhamasishaji ili kuleta ushindi...

YESTOLOWASA nani kama El?
 
Back
Top Bottom