Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,016
Mamluki utampa yes! Hatuwezi uza nchi namna hii.
Umekosea choo.. Piiipoooooo!
Mamluki utampa yes! Hatuwezi uza nchi namna hii.
Cjui mnamzungumzia lowasa yup, kama ni wa ukawa, afanye plan c maana b imefell,
Tz hatujawahi na hatutawahikuwa na presidor fisadi, mwizi, mtu wa tamaa ya madaraka, mtoa rushwa,
Ukitaka kujua angalia marafiki zake, halafu hawa cdm wamekuwa kama wamewekewa limpwataaa la tanga hawaon kabisaaaaa, mkijakuona mkafunguliwa macho mtajua...
Subrn novemba msiseme sikusema, muwe na kumbukumbu edo c mpinzani ni msaka tonge, ili nchi aiuze kwa marafiki zake..
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Mamluki utampa yes! Hatuwezi uza nchi namna hii.
kwa heshima na taadhima,napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba wote wapenda mabadiliko na kuona nchi hii ikisonga mbele kwa kuleta mabadiliko kupitia LOWASA NA UKAWA tujumuike hapa na kupanga na kuhamasisha wananchi kwa kila tuwezavyo ili tarehe 25 october nchi yetu iandike HISTORIA.
mimi nimeshaanza na mkakati wa kuhamasisha watu mbalimbali mfano kwenye daladala,mabucha,magengeni.wapita njia,sokoni......IM CRAYZ FOR LOWASA...USHINDI NI LAZIMA.....WHAT about you...tupe mbinu ya uhamasishaji ili kuleta ushindi...