Say goodbye to the computer mouse?

Say goodbye to the computer mouse?

Okuberwa

Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
68
Reaction score
34
THE DEMISE OF THE COMPUTER MOUSE?

It's hard to imagine a computer you can control with your eyes, but the technology exists and should be available on store shelves in the next couple of years.

Swedish company Tobii, a pioneer in eye tracking technology, has come up with a way to control the screen of a laptop or desktop with your eyes that's actuate within a quarter of an inch.

The technology was first made available to people with handicaps, but it's progressed and will soon be available to the general public.

Pretty soon you can read e-mails with your hands behind your head, scrolling up and down with your eyes. Or if you're playing FIFA soccer you can decide where to shoot the ball by looking at the upper left corner of the goal.

Source: http://www.news.bbc.co.uk/1/technology/7508842.stm
WebmasterWorld News and Discussion for the Web Professional
 
vitu vingine hivi useless. Mkono ndio wenye kazi ya kutenda sio macho....karibu katika dunia ya uchovu na msongo!
 
yaani macho yawe yanafanya kazi badala ya mikono tena kwenye computer? itawezekana kweli? ngoja tuone
 
Najaribu kufanya imagination nawezaje ku place cursor somewhere na jicho sipati picha. I guess haitakua maarufu
 
vitu vingine hivi useless. Mkono ndio wenye kazi ya kutenda sio macho....karibu katika dunia ya uchovu na msongo!

Utasemaje kuhusu mabomba ya maji ambayo ni automatic? huitaji kufungua tap, unachofanya ni kuelekeza mikono yako pale then maji yana flow kama kawaida; lazima ufungue kwa mikono yako mkuu?
 
yaani macho yawe yanafanya kazi badala ya mikono tena kwenye computer? itawezekana kweli? ngoja tuone

Mkuu! Hizi teknohama ni noumer, zamani Bajaj ilikua ni pikpik za walemavu lakini sasa ni usafiri wa kawaida kwa wote. Nafikiri hii kitu ni mahsusi kwa wasio na mikono lakini imeisha geuzwa, tusubiri sasa tutaletewa magongo yanayotembea yenyewe na tutaambiwa ruksa kutumia wote. Tuvute subira tuone.....
 
Stephen Hawking. Mwanasayansi aliyebobea na mlemavu ametengenezewa kompyuta inayomsaidia kazi zake za kila siku na inaongea kwa yeye kufikiri tu. Unaweza ku google ukamuona ulemavu wake, ubingwa wake wa sayansi na vipi kompyuta inamuwezesha.
 
FaizaFoxy ebu leta iyo link.
 
Stephen Hawking. Mwanasayansi aliyebobea na mlemavu ametengenezewa kompyuta inayomsaidia kazi zake za kila siku na inaongea kwa yeye kufikiri tu. Unaweza ku google ukamuona ulemavu wake, ubingwa wake wa sayansi na vipi kompyuta inamuwezesha.
ukiptia vizuri research yako utagundua statement uliyoweka haiko accurate
 
Utasemaje kuhusu mabomba ya maji ambayo ni automatic? huitaji kufungua tap, unachofanya ni kuelekeza mikono yako pale then maji yana flow kama kawaida; lazima ufungue kwa mikono yako mkuu?
huu mfano ni tofauti kabisa na mada uliyotoa na post niliyoweka
 
Stephen Hawking. Mwanasayansi aliyebobea na mlemavu ametengenezewa kompyuta inayomsaidia kazi zake za kila siku na inaongea kwa yeye kufikiri tu. Unaweza ku google ukamuona ulemavu wake, ubingwa wake wa sayansi na vipi kompyuta inamuwezesha.

Nakumbuka niliona CNN habari huyu jamaa Hawking kuhusu aliens, alisema watu wasijaribu kuwasiliana na hivi viumbe maana kuna uwezekano mkubwa vikawa na uwezo mkubwa wa kufikiri na wakawa mbali zaidi ki maendeleo ya teknolojia kwa hiyo wakifanikiwa kuja duniani watatutawala.
 
huu mfano ni tofauti kabisa na mada uliyotoa na post niliyoweka

nadhani na wewe umekiri kuwa ni mfano. Mkuu teknologia inakua kila siku, sisi 'huku' tumekalia kuongeza wanawake na upuuzi mwingine; ukiambiwa kuwa kipanya (mouse) hakitatumika baada ya miaka kama miwili hivi, unabaki unashangaa!
 
ukiptia vizuri research yako utagundua statement uliyoweka haiko accurate

Umeambiwa just Google him ... Mbona wataka ku complicate mambo .
 
yaani macho yawe yanafanya kazi badala ya mikono tena kwenye computer? itawezekana kweli? ngoja tuone

Inawezekana kabisa, nina camera inayo ditect smile na ku shoot automatically.
 
Back
Top Bottom