Sawaa, Si sawaa

LH XiV

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
346
350
Habarini wadau,
Uzi huu ni kuweka bayana mambo uonayo sawa na si sawa katika jamii....

Ni sawa kumpisha mzee kwenye siti ya daladala,
si sawa kuwaacha washkaji ili umpe lifti mdada.
 
Ni sawa kuwa wa kwanza ku comment,,
Si sawa kupita bila ku comment..
 
Back
Top Bottom